Gakpo anajua goli lilipo aisee. Ki kweli rarely soko la January hua linatufelisha..
Diaz Gakpo Salah will be fine...
Diaz Nunez Salah any day of the week
YNWA
Anaweza bwanaHawezi, Ceiling yake inam-betray.
Data says otherwise.Anaweza bwana
Hivi MosDef amemuona Trent?
Sorry hyo airtime ni bundle gan la mwez? Just kidding [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaa!!!
You shouldnt be talking about football sometimes.
Kelleher apewe airtime kama ya Alisson? meaning awe anapokezana games na Alisson?
Are you serious?
unajua kuwa you have the best GK in the world kwenye team yako?
its ALISSON BECKER, unamuongelea.
Bado ni mdogoData says otherwise.
Nipige tafu hiyo.Sorry hyo airtime ni bundle gan la mwez? Just kidding [emoji23]
Sorry hyo airtime ni bundle gan la mwez? Just kidding [emoji23]
Naiman Caicedo anajuta huko alipo [emoji1787][emoji1787]Forgot Matip, i think ni most underrated signing ambayo Klopp ameifanya at LFC.
Think, Virgil, Alisson & Fabinho signings are the MOST important, because they transformed us to a higher level.
People, were laughing at that time, and they are still laughing now, because he's struggling at Chelsea, BUT Moises Caicedo under Jurgen Klopp, angekuwa ni ANIMAL, ile signing ingetufanya kuwa instant title challengers, hence Klopp mwenyewe alikuwa tayari kutoa 110m for Moises.
Bado ni mdogo
Apewe tu muda wa kutosha
Naiman Caicedo anajuta huko alipo [emoji1787][emoji1787]
Basi muuzeniKelleher is 25 (TWENTY FIVE).
Age yake, ndiyo ilikuwa one of the big reasons ambayo ilinifanya ni-advocate suala la kuuzwa in the summer, because at that age, anatakiwa kuwa kwenye team anayoonza kila week.
At 25, Alisson Becker was voted as the best Serie A GK of the year, that was 2017.
At 26 (a year older kwa Kelleher), he signed for LFC, fee ya £66m, made him the most expensive GK in the.world at that time.
So, Kelleher siyo "mdogo". na akiendelea kubaki LFC, atazidi kujichimbia shimo.
Jota for headed goals, Jota for tight angles goal, Jota for forcing goals... He is such a complete package ishu kuu ni mahitaji ya Klopp pale mbele hua dynamic sana... But am at peace the way we have options kati na pale mbele, gone are th days benchi lilikua dhaifu sanaaaa.Him and Jota are our best finishers nyuma ya Salah.
Basi muuzeni
Kwa kipaji chake hatakiwi kuendelea kukaa benchi
Jota for headed goals, Jota for tight angles goal, Jota for forcing goals... He is such a complete package ishu kuu ni mahitaji ya Klopp pale mbele hua dynamic sana... But am at peace the way we have options kati na pale mbele, gone are th days benchi lilikua dhaifu sanaaaa.
Jota stat Liverpool 130 games 49 goals na assist 15.
YNWA
I always smelled kuna below the carpet issue here with Caicedo.. No wonder agent ndio alikua wa kwanza kusema hawaja saini Liverpool...His agent lied to him.
But again, kama tungefanya kama agent wake alivyotaka (under the table payaments), angekuja LFC, but Hogan & FSG refused.
Ishu kuu dogo kukaa fit lol hii kwake haiwezekani kabisa... This boys need to borrow some info kwa Mane, Gini na Salah maan those 2 boys rarely missed games pale Liverpool.Jota can play on the wing, au at 9.
Problem ya Jota, ni big injuries za mara kwa mara.
Trent ni yule yule atakufanya unune na muda huo huo utacheka...Hivi MosDef amemuona Trent?
Tuna subiri ofa ya kusimumua na atauzwa tu hakuna namna.Basi muuzeni
Kwa kipaji chake hatakiwi kuendelea kukaa benchi
I always smelled kuna below the carpet issue here with Caicedo.. No wonder agent ndio alikua wa kwanza kusema hawaja saini Liverpool...
YNWA