Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
My only concern ni looking at past inanipa wakati mgumu sana kuamini anaweza kum drop huyu dogo.. Kama aliweza kuishi muda wote huu na bams Henderson na Milner na akawa hana haraka kuwa phase out basi na huyu Trent tunae aisee...Kwenye MF, unatakiwa unatakiwa uwe na a good amount of defensive actions.
Kama tu, at RB huwa anakuwa shati mara kwa mara, how can he be comfortable at;
1. Defending transitions kwenye MF?
2. Dendefing Counters?
3. Show up for Interceptions, tackles?
4. Defending/winning aerial and most impotantly ground duels?
5. Recycling possesion?
6. Enciurage ball retention?
7. Encourage press resistance?
be a good progressor ni nothing kama your defensive actions are low.
Ishu kuu dogo kukaa fit lol hii kwake haiwezekani kabisa... This boys need to borrow some info kwa Mane, Gini na Salah maan those 2 boys rarely missed games pale Liverpool.
YNWA
🤣 🤣 Diaz my take... naona Barcelona ndio klabu yake aisee huyu sioni akiwepo pale miaka 2 ijayo...I think, him & Diaz, mmoja wao hana muda mrefu at LFC.
My only concern ni looking at past inanipa wakati mgumu sana kuamini anaweza kum drop huyu dogo.. Kama aliweza kuishi muda wote huu na bams Henderson na Milner na akawa hana haraka kuwa phase out basi na huyu Trent tunae aisee...
YNWA
🤣 🤣 Diaz my take... naona Barcelona ndio klabu yake aisee huyu sioni akiwepo pale miaka 2 ijayo...
YNWA
Since Fifa waseme wanaweka capping kwa agent fees naona kimya mpaka sasa aisee... Kunahitajika proper flame work namna bora ya ku address this vulture trend ya hawa ma agent... Its like Fifa ni wanafaika wa haya mambo yakibaki hivi.Manuel Sierra, anafahamika kwenye football world kwa mienendo yake.
Caicedo, deal ilikuwa ni suala la.pesa tu, na Sierra ndiyo alikuwa ana-control the narrative.
Caicedo is a good kid, and i always wish him the best, na i hope he will have a stable career at Chelsea.
But, UEFA and especially FIFA, wanahitaji kuliangalia kwa umakini sana hili suala la Agents, football agents wamekuwa waki-take advantage sana kwa these kids, tena wanaotoka kwenye mazingira magumu sana, Africa & South America.
🤣 🤣 Klopp is a pathetic looser aisee maana he lose by 1 margin unafikiri amesoma why he failed aaa unashangaa ana beti tena na same comrades lol... Pep is cool ruler aisee..Football ni mchezo wa small margins.
Kuna vitu vitakufanya uwe PL winner kila msimu kama Pep, au kuwa msindikizaji kama Klopp.
Kabisa mpira ni biashara... With C10 cash we built an empire n here we are back to th summit.He's 27.
Offer ikija nzuri, FSG will take it.
Mnafikiria Trent aondoke?My only concern ni looking at past inanipa wakati mgumu sana kuamini anaweza kum drop huyu dogo.. Kama aliweza kuishi muda wote huu na bams Henderson na Milner na akawa hana haraka kuwa phase out basi na huyu Trent tunae aisee...
YNWA
Hivi mbona huwa sisikii mkimuongelea Jota kuondokaKabisa mpira ni biashara... With C10 cash we built an empire n here we are back to th summit.
YNWA
Jota yupo mpaka 2027 vile... Kila mchezaji ana bei ujue akija mhitaji ofa ikawa fresh mbona anakumbaliwa...Hivi mbona huwa sisikii mkimuongelea Jota kuondoka
Au yeye hawezi
🤣 🤣 Mwalimu nani huyo atakua kama Lampard tu...Mnafikiria Trent aondoke?
Sahauni kabisa,wazeni mengine[emoji23][emoji23]
Trent ndio Captain wetu ajaye,na ndiye Mwalimu ajaye wa timu ya watoto.
Inshort Trent atazeekea hapahapa.
Trent for life[emoji3590]
we made it again!!!