Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
,......mlango upi? :coffee:
Au Tv yangu ipo mbele kwa dakika kadhaa!?
Pole nkamu gwangu you will never walk alone,dont give up!!
ile ya chelsea je?
Dah.... huu mwaka kazi ninayo. Kila mahali mapigo. Simba nayo inazengua..... sijui nihamie wapi mimi.Pole nkamu gwangu you will never walk alone,dont give up!!
Hapana kalumbu kocha BR anatuyeyusha mno
Inabidi maamuzi magumu yafanyike,si juzi tu kaka ulisema bado una imani naye vipi tena??
Dah.... huu mwaka kazi ninayo. Kila mahali mapigo. Simba nayo inazengua..... sijui nihamie wapi mimi.
Acha nibaki na Guinness beer. Haijawahi kunisononesha moyo.
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::violin::violin::violin::majani7::majani7::majani7:πeace:πeace:πeace:Hahahaha!! Pole sana kweli huyo hana shida yeye yuko zake kwenye chupa mpaka umchokoze,duh!! Hata mimi Simba wameniboa kweli walianza vyema lakini zii. Embu ongeza nyingine hapo kwa bili yako......
Leo sitaki kuwa muongo wala mnafki
Johnson
For the first time he impress me nimeipenda kazi yake to the maximum he is perfect and clear today I give him 98.8%
Sterring
Huyu dogo this season EPL - Carling cup - uefa hakuna game aliyowahi nivutia hata moja afu karibia kila game namuona anacheza 90mnts I hate this sababu he is stupid, stupid and stupid. Akiuzwa kwenye dirisha dogo sitalalamika, I pray to Madrid to come and take this stupid player away
BR
Hahahaha eti sub: Coutinho out-Lambert in stupid for what purpose yaani hapa unategemea kushinda afu mwisho wa siku useme " we play well but we didn't score" f*cking BR kwa hii stupid play ya kila siku I didn't see a light, end of the tunnel
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::violin::violin::violin::majani7::majani7::majani7:πeace:πeace:πeace: