Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakyamama.... inataka moyo wa kishujaa kuishabikia hii timu. Lakini ndo hivyo tena hatuna jinsi.

.........hahah, poleni kaka. Pazi na mapeeema alishajiamulia kukaa pembeni.
 
Last edited by a moderator:
Pole nkamu gwangu you will never walk alone,dont give up!!
Dah.... huu mwaka kazi ninayo. Kila mahali mapigo. Simba nayo inazengua..... sijui nihamie wapi mimi.

Acha nibaki na Guinness beer. Haijawahi kunisononesha moyo.
 
Hahahaha!! Pole sana kweli huyo hana shida yeye yuko zake kwenye chupa mpaka umchokoze,duh!! Hata mimi Simba wameniboa kweli walianza vyema lakini zii. Embu ongeza nyingine hapo kwa bili yako......
 
Leo sitaki kuwa muongo wala mnafki

Johnson
For the first time he impress me nimeipenda kazi yake to the maximum he is perfect and clear today I give him 98.8%

Sterring
Huyu dogo this season EPL - Carling cup - uefa hakuna game aliyowahi nivutia hata moja afu karibia kila game namuona anacheza 90mnts I hate this sababu he is stupid, stupid and stupid. Akiuzwa kwenye dirisha dogo sitalalamika, I pray to Madrid to come and take this stupid player away

BR
Hahahaha eti sub: Coutinho out-Lambert in stupid for what purpose yaani hapa unategemea kushinda afu mwisho wa siku useme " we play well but we didn't score" f*cking BR kwa hii stupid play ya kila siku I didn't see a light, end of the tunnel
 
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::violin::violin::violin::majani7::majani7::majani7:😛eace:😛eace:😛eace:
 
Pole best yangu....
 
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::violin::violin::violin::majani7::majani7::majani7:😛eace:😛eace:😛eace:

Au nije nilipe?? Lakini wewe tunaweza gongana kumi hapo.......ongeza tu kwa Bill yako....
 
Iam Speechless kwakweli yani nmeumia to the maximum sijui huyu kocha anatutaka nn.!!
 
Back
Top Bottom