Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nunez ni mzigo
Ofa ikija apigwe bei tu.


Trent apangwe anapoweza kucheza.
Haondoki ng'oo 😂,mnajichosha bure.

Klopp atakuwa ni kichaa kuuza mchezaji mwenye kipaji kikubwa na hana majeruhi ya mara kwa mara.
 
Hao wenyewe wazuiaji wajuzi
Wamezuia kitu gani cha maana hadi tunafungwa bao 3
 
Tunamshukuru kwa ushiriki wake
Ila jua ushiriki wake siyo guarantee ya yeye kukosa magoli ya wazi

Tutamsema tu hadi akili itakapomkaa sawa,
Mishe nyingine yumo,ila mishe tuliyomtuma(kufunga magoli) hawezi .
🤣 🤣 🤣 Kweli mahaba niue... Kuna tofauti gani hapo na hili la Trent ni beki lakin kuzuia amechemka na hili la Nunez mfungaji lakin amechemka na anachofanya ni kutoa pasi ya pili kwenda ya mwisho wengine wafunge...

YNWA
 
Nunez ni mzigo
Ofa ikija apigwe bei tu.


Trent apangwe anapoweza kucheza.
Haondoki ng'oo 😂,mnajichosha bure.

Klopp atakuwa ni kichaa kuuza mchezaji mwenye kipaji kikubwa na hana majeruhi ya mara kwa mara.
🤣 🤣 🤣 🤣 Aisee nani anaongeza kosa kosa kati ya Nunez kushindwa kufunga na Trent kushindwa kuzuia..

Kimsingi kwa sasa Trent ameshatuma ujumbe wapi anastahili kucheza kwa sasa kazi kwa Klopp kumpa dakika MF au akomae kule kule RB hilo watajuana.. Amepewa hicho kibali cha roaming na matokeo yameonekana safi kabisaaa... Mpaka hapa ni dhahiri hii MF dogo ameamua ku fosi namna ya kuipata... Kazi kwa Klopp sasa na jopo lake wajua namna bora ya ku address line up pale kati kama iwe Trent, Domy, Macca...

Salute kwa Trent. Amepewa nafasi hajapepesa macho ni kazi kazi.

YNWA
 
Hapepesi macho kwa sababu anajua mateso anayoyapata kucheza nyuma..
Inshort ni mlimlazimisha kucheza asipopaweza


Haya sasa njooo kwa Nyunyezi
Mategemeo yetu ya kwanza ni yeye kuwa na mvua ya magoli
Marajio na uhalisia vinapingana.
 
🤣 🤣 🤣 Kweli mahaba niue... Kuna tofauti gani hapo na hili la Trent ni beki lakin kuzuia amechemka na hili la Nunez mfungaji lakin amechemka na anachofanya ni kutoa pasi ya pili kwenda ya mwisho wengine wafunge...

YNWA
Tofauti ipo.


Trent alishaweka wazi yeye hawezi mambo ya ubeki

Nunez yeye kasema anataka akae wapi?au tumuweke awe beki?
 
Hapepesi macho kwa sababu anajua mateso anayoyapata kucheza nyuma..
Inshort ni mlimlazimisha kucheza asipopaweza


Haya sasa njooo kwa Nyunyezi
Mategemeo yetu ya kwanza ni yeye kuwa na mvua ya magoli
Marajio na uhalisia vinapingana.
Naona mechi ijayo TAA akifunga utasema ramsi sasa acheze strika na sio MF 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

YNWA
 
Kuna shida pale kati kwa staili ya klop anavyopanga timu kushinda tutashinda lkn lazima akubali kuna umuhimu wakuwa na natural DM kuna tackle moja endo aliifanya nikamkubuka prime fabinho.

Tunakuwa exposed sana kwa sabb hakuna mtu wakuzuia mashambulizi kwanzia kati na hii kaz Marc allister haiwez vizur. Solution ni moja akubali endo awe anaanza japo mara moja moja.
Msimu huu tumeruhusu magoli mengi mnoo mpk sasa
 
ETH kamuamini huyu kijana Kobbie Mainoo na anafanya vizur sasa sijui yeye anashida gani kwa Stefan Bajcetic
 

Nimeona article ya James Pearce, anasema we dont need a "6", kwamba put Trent in the middle, and buy a right back.

Nimeishia kucheka tu.
 
Nunez ni mzigo
Ofa ikija apigwe bei tu.


Trent apangwe anapoweza kucheza.
Haondoki ng'oo 😂,mnajichosha bure.

Klopp atakuwa ni kichaa kuuza mchezaji mwenye kipaji kikubwa na hana majeruhi ya mara kwa mara.

Sometimes your takes on football gets way overboard, and it can be stressful.

Trent played a huge part kwenye our win against Fulham, and he deserves kila aina ya praise.

But that doesnt mean he wasnt responsible for Fulham first goal.

And it doesnt mean, the whole midfield wasnt bad (Szobo, Macca, Grav), failed to step up kwenye kila aina ya defensive actions.

Our attacking line, was poor (Diaz, Nunez & Salah).

I dont want to talk about Kelleher, because i expected it.

Then, again, mtu unae ona mzigo hapa, bila yeye kuwepo at the right place, right time, those 2 last goals (Endo & Trent), zisingetokea, not in the slightest.

Actually, it takes a good football mind to figure out this, and i believe you have been kwenye football world, a while enough, kuelewa team-effort kwenye mpira, and what the meaning of last attacking actions.

Give praise, panapohitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…