Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nunez ni mzigoSipo sentimental ever ikja swala getting the best of players aisee yaaaaan awe Salah au Nunez akizungua uwanjani na ofa ikiwa mezani mbona fresh tu auzwe aisee..
Huyo Trent wako nae ni vile vile kama hawezi kuzuia bei walete hata Manchester City fresh auzwe.. Nimechoka kua msidikizaji kwa Klopp kung'ang'ania wachezaji mizigo tangu enzi ya Lovren, Benteke, Hendo, Milner,Ox, Keita nk nk hivyo tu nahitaji delivery sio bla bla uwanjani... Klopp has to be brutal na makombe yatatua mengi sanaaa. Kumbembelezana Hapana
YNWA
Ofa ikija apigwe bei tu.
Trent apangwe anapoweza kucheza.
Haondoki ng'oo 😂,mnajichosha bure.
Klopp atakuwa ni kichaa kuuza mchezaji mwenye kipaji kikubwa na hana majeruhi ya mara kwa mara.