Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu uzi umejaa wazee/mababu wanakula pensheni tu
 
Nimeona article ya James Pearce, anasema we dont need a "6", kwamba put Trent in the middle, and buy a right back.

Nimeishia kucheka tu.
FSG mouthpiece.. He should shut up kwa kweli.. Ndio hawa hawa walimpa Klopp kichwa kukubatia home grown lazy fellas mpaka leo tuna EPL moja tu aafu leo anaimbuka na hii kauli kwa kweli wanakera sana hawa watu ujue..

Klopp should be smart... Kwani akinunua huyo DM mmoja na CB mmoja kuna shinda gani...

Liverpool is big well operated

YNWA
 
Unaweza shangaa Leo Liverpool ikatoa sare, mechi za Liverpool dhidi ya timu za mkiani ugenini hazijawahi kuwa rahisi hata kidogo, hii mechi ni fainali
 

Mkuu, nakuelewa, nakuelewa sana.

But, as a LFC fan, nimeshuhudia jinsi a WC keeper anavyoweza ku-elevate your whole team/side.

Baada ya Reina, we struggled for years mpaka kuja kumpata Alisson, na kipindi hiki we won nothing big, when we had Mignolet & Karius, i have witnessed them costing us games, costing us trophies, so naelewa na naheshimu sana umuhimu wa a WC Keeper.

Raya, nadhani ame-make mistakes nyingi this season, but nyingi hazikuwa punished, au kuwa-cost games, hence huoni tatizo, jana at Luton, he made 2 key mistakes, ungekuwa kwenye tough grounds/big opponents (Anfield, Etihad, SB, St James Park (Utakubaliana na mimi Raya played a big part kwenye goal la Gordon at ST James Park), OT, Spurs stadium, Villa Park etc) his 2 key mistakes zingeku-cost points.

A keeper ambaye ana mistakes/errors nyingi kwenye his game, hawezi kuwa sustainable in the long run, umeamua ku-mask his weakness, and its okay.

Then, again stats zake lazima zitakuwa well balanced, because he's not getting tested a LOT, Arsenal ndiyo mmeruhusu shots chache sana golini, kabla ya game ya jana, mlikuwa mmeruhusu 28 shots on target, thats impressive & impeccable. so its obvious kuna weaknesses/mistakes za Raya utazifumbia macho, because bado hazijaanza kuwa-cost games, and i mean crucial games.

But, what do i know? he's your GK & problem.
 
Unataka kusema Alison Bakari hafanyagi mistakes?

Kuku bhana mnakua kama utopolo

Every players anafanya mistakes, suala la hapa ni hizo "mistakes" kuwa part ya "weakness" ya mchezaji.

And, you could have just used terms like LFC, Liverpool, Pool etc, ungeonekana Cooler na mjanja zaidi (kwa strangers), kuliko hilo neno Kuku.
 
Elliott anajituma mno hataki kula benchi tena anafosi starting line up ishu kwake huyu akianzishwa hua anakua AWOL muda mwingi sana kwa sasa awe super sub.
Grav is really trying to bring lots of aspect ambazo once they have chemistry na wachezaji wengine kati na mbele we are sorted for real..
Macca seems kama ameamka sasa mechi ya Ethad he passed the audition really well na hii ya Cottagers hakua mbaya sanaa minus the goals n well we know he ain't born a DM..
Domyy hizi mechi 2 amekua a bit here n there not affecting the games..

Pale kati Klopp aweke yotote tu we are ready...

YNWA
 

Sija predict chochote.

I have looked at our next 2 opponents, na kuzingatia gaps/problems walizonazo now, and nikaipa my team a good chance.

Its about kuwa na trust na my team.
 
Nadhani mashabiki wote huku wa Liverpool hawajawahi kushuhudia kipa mwenye ubora kama Allison kwenye hii timu
 

Elliott, ni strange player, i think what we are trying to is coach him into a very technical RCM, it may take sometime, but kwasasa ni very good asset kuwa nayo kwenye bench.

Grav, needs to work sana on his defensive actions, na pia nadhani he was utilised vizuri sana against Everton, LCM, but not deep, and behind the ball.

Szobo, hii game ya 4, yupo kimya sana, ni matokeo ya sisi kujifanya tunaheshimu sana fair play, Hungary wanamtumia jamaa kama bar of soap, sometimes as a club itabidi uwe firm na your employees, yes, wanapenda sana ku-represent teams zao, but kama Szobo anarudi hivi kwasasa, it means anaharibu office yako, unaona kabisa ana fatigue, na ndiyo kwanza tupo december.

Uzuri, ni kuwa Hakuna International breaks mpaka March, so he will recover.
 
Nadhani mashabiki wote huku wa Liverpool hawajawahi kushuhudia kipa mwenye ubora kama Allison kwenye hii timu

And whats wrong with that?

After Jens Lehmann, Arsenal imefanya kitu gani cha maana na kina Almunia, Fabianski, Vito Mannone, Ospina, Szczesny, Leno etc? (Respect to Petr), usiniambie FA cups/EFLs, LFC won FA Cup/EFL with Kelleher golini.

20 years tangu Arsenal ashinde PL, na katika hicho kipindi, (Ukiachana na an aged Petr), Arsenal imewahi kuwekeza heavy on GKs? how many subpar GKs wamepita Arsenal? wameipa Club kitu gani?

In modern days,

ukiachana na Van De Sir, peak & young De Gea gave Utd a PL.

Same kwa Thibaut Courtois

Same kwa Ederson & Alisson.

Same kwa Ter Stegen & Oblak

Same kwa Neuer (Greatest GK of his generation for me). etc

Kuna advantage ya kuwa ni WC keeper kwenye your Club, GK ana umuhimu sana na CB, DM, Forward kwenye team, kwasababu ndiyo 4 players wanao-form a spine ya team.

Raya akishinda PL, i will praise him, but he's a mid-table GK at best.
 

Mkuu, buying a DM, kama tunaona Baj hayupo ready, ni MUST, siyo suala la ku-sugarcoat, kuna a lot of attainable profiles out there.

Kukaa na kuamua kuandika article kama ile ni ujinga sana, sijui The Athlete wanaona nini kwa James Pearce.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…