Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mi ningewapa wote equal opportunity.
Kaleller mzuri sana,kadaka hadi fainali na tukashinda...
Allison anaelekea kuzeeka..
Dogo angezidi kuandaliwa ili mbeleni amrithi Allison
Ama na sisi tutaanza kutangatanga kama manure na Chelsii..haya.
Kabisa na wanatakiwa wafanye faster kama walivyo fanya kwa Dominic szoboszlai, waende mazima
π€£ π€£ π€£ π€£ Man you have nailed its big time... Saying player so n so hawafai hata kuvaa jezi ya Liverpool kwa sasa sio kwamba tunawachukia au tuna ishu nao mbali anakua mzigo uwanjani na kuzamisha jahazi...
Ni kweli kuna kipindi hata Henderson alipambana vyema tu lakini ukiweka kwenye mzani kwangu naona alikua pedestrians asilimia 70... Kilichokua kinaboa sana ni pale ma pundits wanatuleta ishu za kujitolea nje ya uwanja kwamba hilo nalo kwetu ni ishu.. Yaan kwa kua yupo LGBT kwa miguu yote au kuwapa homeless msaad kipindi especially cha corona nk basi ndio wanatufosi tuache kutazama upabde wa uwajibikaji uwanjani na kuleta bia bla zao, pathetic...
Sijawai kum rate Henderson kama kweli alistahili kuwepo Liverpool na captain wa timu hii bhana hua nasema hakuna mwenye bahati kama Hendo.
YNWA
Jones anatakiwa ku-limit/control his extra touch trait.
He has no pace, but anaweza ku-cover hiyo weakness na one-touch & pass football.
Oooh boy just when he was getting back to the summit after lots of struggles last season then this lol poor lad...Klopp saying Matip did his ACL
Season is over for him.
π€£ π€£ π€£ π€£ Gerrard saved us this mess...Scousers hawataki hata kumsikia Henderson kwa sasa.
We are interested.
Klopp has been a fan since he was 16/17, and as a club and Klopp we have a mutual relationship with him and his family.
we tried in 2016/17, but got out-musculed na PSG (financial package).
Interest, haijawahi kufa.
Oooh boy just when he was getting back to the summit after lots of struggles last season then this lol poor lad...
Jarell Quansah ready to make his mark clever he didn't go on loan.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana
Unajua nyie tu mnashindwa kumuamini yule mtoto.
Mbona yupo vizuri sana tu kama Allison tu.
Ok. Nafikiri tunahitaji ufumbuzi wa kudefence as a team and individual. Kabla ya kuhangaika na Mbappe, najua kumnunua sio ishu ila wages ndio kipengele.
Lets create team ile ya 2016-2019, 2020-2022
He is back.