Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji3590]
IMG-20231206-WA0110.jpg
 
Mi ningewapa wote equal opportunity.
Kaleller mzuri sana,kadaka hadi fainali na tukashinda...

Allison anaelekea kuzeeka..
Dogo angezidi kuandaliwa ili mbeleni amrithi Allison


Ama na sisi tutaanza kutangatanga kama manure na Chelsii..haya.

Sidhani kama Kelleher ni mrithi sahihi wa Alisson japo namuamini pia awapo golini. Kelleher amemzidi Alisson foot work, ila kunusa harufu ya hatari Alison is something else. Alison 1v1 is much better than our most defenders.

Msimu Kelleher amepata game time sana. Europe ndio mechi zake Carabao na FA atahusika. Beckor injury will still keep kelleher under the posts.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Man you have nailed its big time... Saying player so n so hawafai hata kuvaa jezi ya Liverpool kwa sasa sio kwamba tunawachukia au tuna ishu nao mbali anakua mzigo uwanjani na kuzamisha jahazi...
Ni kweli kuna kipindi hata Henderson alipambana vyema tu lakini ukiweka kwenye mzani kwangu naona alikua pedestrians asilimia 70... Kilichokua kinaboa sana ni pale ma pundits wanatuleta ishu za kujitolea nje ya uwanja kwamba hilo nalo kwetu ni ishu.. Yaan kwa kua yupo LGBT kwa miguu yote au kuwapa homeless msaad kipindi especially cha corona nk basi ndio wanatufosi tuache kutazama upabde wa uwajibikaji uwanjani na kuleta bia bla zao, pathetic...
Sijawai kum rate Henderson kama kweli alistahili kuwepo Liverpool na captain wa timu hii bhana hua nasema hakuna mwenye bahati kama Hendo.

YNWA

Scousers hawataki hata kumsikia Henderson kwa sasa.
 
Jones anatakiwa ku-limit/control his extra touch trait.

He has no pace, but anaweza ku-cover hiyo weakness na one-touch & pass football.

Klopp tried him alot to tell him about unnecessary extra touches. Kidoooogo msimu huu kabla ile injury alionekana kubadilika, amerejea naona amerudi na extra touches.
 
We are interested.

Klopp has been a fan since he was 16/17, and as a club and Klopp we have a mutual relationship with him and his family.

we tried in 2016/17, but got out-musculed na PSG (financial package).

Interest, haijawahi kufa.

Ok. Nafikiri tunahitaji ufumbuzi wa kudefence as a team and individual. Kabla ya kuhangaika na Mbappe, najua kumnunua sio ishu ila wages ndio kipengele.

Lets create team ile ya 2016-2019, 2020-2022
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana
Unajua nyie tu mnashindwa kumuamini yule mtoto.


Mbona yupo vizuri sana tu kama Allison tu.

[emoji81] hua napenda emotional za wadada kwenye mpira.

Hapo kwenye mbona yupo vizuri sana tu kama Allison tu.

Nafikiri hata Kelleher hafikirii unavyofikiri.
 
Ok. Nafikiri tunahitaji ufumbuzi wa kudefence as a team and individual. Kabla ya kuhangaika na Mbappe, najua kumnunua sio ishu ila wages ndio kipengele.

Lets create team ile ya 2016-2019, 2020-2022

Team yetu inahitaji lethal attackers aswell as a DM, LB and a CB.

Sema tu ni suala la priority.

At some point, tutahitaji kufanya assessment on Diaz, he's 27 na he's not looking the same baada ya his injury.

Gakpo & Nunez, bado wanahitaji time, but tunatakiwa tuanze kujiandaa na maisha baada ya Salah.

Akiondoka Salah, ni lazima tutahitaji a 80-120m forward signing.
 
Back
Top Bottom