Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa kwani Haaland kukosa magoli sisi inatuaffect vipi kama Liverpool?

Tunamsema Nunez kwa sababu kukosa kwake muda mwingine kunaathiri ushindi wa timu yetu.


Yeye kupambania wengine kufunga haihalalishi uzembe wa kugonga miamba.
Ni kwa kua mark up ya Nunez hua ni Haland kwa wengi.. Tofauti ipo Haland alikuta set up that was for his strength.. KDB in top form.... lakin Nunez akikuta wakumpa ma assit ni Milner, Henderson, Kieta nk nk..

Akose magoli tu tuzidi kujikusanyie pointi pale juu...jana kwa mara ya kwanza Manchester City walipata shoti 2 golini tu gemu nzima ni rekodi Kipara kukutana na kisiki kile cha Aston Villa hajaamini kwamba pamoja na utajiri wa wachezaji wenye vipaji watazimwa vile na Unai....

Let's appreciate hard work ya hawa vijana wetu kuchimba negative vibes all the time ain't helping no body..

Sina imani when Trent get lazy defending lakin Klopp who i trust will still put him there n he has delivered time time again hivyo its all cool Klopp knows better....

We might have different ideas kwa hawa wachezaji lakin mwalimu wao anajua their weakness na strength n I stand with Klopp hata akinoboa kiasi gani I will still still stand with him after all tumekaa na Henderson miaka yote na tulichukia lakini waaa tumoo wala hatuedi kokote...

Miss Liverpool wewe ni sworn 'enemy" wa Nunez haijalishi lipi atafanya u ill always look the other way kipi hakufanya wakati ule... Its all cool maana Klopp atampanga tu nuna zima tv atapangwa tu 😆😆😆😆

YNWA
 
Kabisa. Quality kwenye bench ndiyo njia ya kupita Jan-March salama. Ukikosa hilo, utajiona tu January umemuaha kipara points 10 huko ila ikifika April mnajikuta mko sare. May unamuon kipara kabeba kombe.
 
Duuh ila hii dunia sio fair kabisa imagine asking Klopp ubingwa akiwa na hao wachezaji Shaqir, Milner, Henderson, Unreliable Keita n Ox man Klopp is a miracle worker hakuna kingine..
Prime KDB n crew were brutal

YNWA
 
Sijui kwanini watu hawataki kukubali ukweli kuwa NUNEZ ni flop...
Klopp atafute striker
Nunez's goal contribution is better than Jota and Gakpo! Ony Salah has better stats than him this season. Hii ndo sababu Klopp bado anamng'ang'ania, and trust me akiondoka Liverpool sasa tutajutia within two seasons! this guy has a potential of becoming a beast of a goal scorer!

If only people realized how good his movement is mngeacha kumkatia tamaa. His got better movement than Haaland. He only needs to work on his first touch and composure! and trust me that can be taught but you cannot teach instincts!
 
Nunez aiseeeee hapana jamaa anakosa magoli ya wazi sana hata goli la Szobo jana pale Nunez angekosa
 
Mimi siogopi kuitwa hater
Eti mtu anakosa anaigharimu timu halafu tuogope kuongea kisa tutaonekana haters😂😂😂

Kumbukeni ameshamaliza msimu mzima,na sasa tupo msimu wake wa pili.
Shida ipo kwenye magoli anayokosa...yeye na mwamba anapiga nje
 
Duuh ila hii dunia sio fair kabisa imagine asking Klopp ubingwa akiwa na hao wachezaji Shaqir, Milner, Henderson, Unreliable Keita n Ox man Klopp is a miracle worker hakuna kingine..
Prime KDB n crew were brutal

YNWA

Sasa hivi Man City inahitaji rebuild yani mechi zenye kueleweka zote hajashinda anaishia Sare au anafungwa.
Hii sio kawaida ya Kipara.
 
Sasa hivi Man City inahitaji rebuild yani mechi zenye kueleweka zote hajashinda anaishia Sare au anafungwa.
Hii sio kawaida ya Kipara.
Kutesa kwa zamu kaka hakuna namna.
Rodri sasa amekua Fabinho wa Liverpool last season.
Amejaribu mpaka kumpa sapoti kwa double pivot ya Rodri na Akanji lakin anapata same output..

YNWA
 
Mimi siogopi kuitwa hater
Eti mtu anakosa anaigharimu timu halafu tuogope kuongea kisa tutaonekana haters😂😂😂

Kumbukeni ameshamaliza msimu mzima,na sasa tupo msimu wake wa pili.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Naheshimu sana view zako juu ya Nunez na members wengine wote wanaoona mapungufu yake kwa sasa after all wote tunahitaji pointi 3 muhimu zipatikane na ushindi kusogea kunyanyua kwapa...

Kwangu any day of the week Nunez is 1st team starter as he brings lots of dynamics to the team regardless Klopp mara amtupe LW boy is there doing whats he does best.. Fighting spirit is next level... Kosakosa zake hazimshushi morali n that whts defines potential quality players

YNWA
 
Klopp saying Matip did his ACL

Season is over for him.
Season and he might have played his last game for Liverpool.. Mkataba wake unaisha June 2024 hivyo sioni akipewa nyongeza hapa...

*Konate has had his share of injuries, *Robertson same ana edelea na kupona
*Matip ndio bye bye really sad for the Yaounde guy.

Mungu awaepushe VVD, Trent na huu upepo.

YNWA
 
Sasa subiri tukose kwanza kombe ndo mtaona hizi hasara za kugonga miamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…