Ni kwa kua mark up ya Nunez hua ni Haland kwa wengi.. Tofauti ipo Haland alikuta set up that was for his strength.. KDB in top form.... lakin Nunez akikuta wakumpa ma assit ni Milner, Henderson, Kieta nk nk..
Akose magoli tu tuzidi kujikusanyie pointi pale juu...jana kwa mara ya kwanza Manchester City walipata shoti 2 golini tu gemu nzima ni rekodi Kipara kukutana na kisiki kile cha Aston Villa hajaamini kwamba pamoja na utajiri wa wachezaji wenye vipaji watazimwa vile na Unai....
Let's appreciate hard work ya hawa vijana wetu kuchimba negative vibes all the time ain't helping no body..
Sina imani when Trent get lazy defending lakin Klopp who i trust will still put him there n he has delivered time time again hivyo its all cool Klopp knows better....
We might have different ideas kwa hawa wachezaji lakin mwalimu wao anajua their weakness na strength n I stand with Klopp hata akinoboa kiasi gani I will still still stand with him after all tumekaa na Henderson miaka yote na tulichukia lakini waaa tumoo wala hatuedi kokote...
Miss Liverpool wewe ni sworn 'enemy" wa Nunez haijalishi lipi atafanya u ill always look the other way kipi hakufanya wakati ule... Its all cool maana Klopp atampanga tu nuna zima tv atapangwa tu 😆😆😆😆
YNWA