Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Season and he might have played his last game for Liverpool.. Mkataba wake unaisha June 2024 hivyo sioni akipewa nyongeza hapa...

*Konate has had his share of injuries, *Robertson same ana edelea na kupona
*Matip ndio bye bye really sad for the Yaounde guy.

Mungu awaepushe VVD, Trent na huu upepo.

YNWA
Mungu awalinde mabeki waliobaki wasiumie
Wakiumia tu mmojawapo aisee, mkeka wetu unakuwa umechanika.
 
Ni kwa kua mark up ya Nunez hua ni Haland kwa wengi.. Tofauti ipo Haland alikuta set up that was for his strength.. KDB in top form.... lakin Nunez akikuta wakumpa ma assit ni Milner, Henderson, Kieta nk nk..

Akose magoli tu tuzidi kujikusanyie pointi pale juu...jana kwa mara ya kwanza Manchester City walipata shoti 2 golini tu gemu nzima ni rekodi Kipara kukutana na kisiki kile cha Aston Villa hajaamini kwamba pamoja na utajiri wa wachezaji wenye vipaji watazimwa vile na Unai....

Let's appreciate hard work ya hawa vijana wetu kuchimba negative vibes all the time ain't helping no body..

Sina imani when Trent get lazy defending lakin Klopp who i trust will still put him there n he has delivered time time again hivyo its all cool Klopp knows better....

We might have different ideas kwa hawa wachezaji lakin mwalimu wao anajua their weakness na strength n I stand with Klopp hata akinoboa kiasi gani I will still still stand with him after all tumekaa na Henderson miaka yote na tulichukia lakini waaa tumoo wala hatuedi kokote...

Miss Liverpool wewe ni sworn 'enemy" wa Nunez haijalishi lipi atafanya u ill always look the other way kipi hakufanya wakati ule... Its all cool maana Klopp atampanga tu nuna zima tv atapangwa tu 😆😆😆😆

YNWA
Mimi namsema Nunez kama Nunez na wala simfananishi na mtu wa timu nyingine yoyote.

Sina uadui na mtu anayefanya vizuri
Asiyefanya vizuri nitamsema tu
Si Kwa sababu namchukia, Bali ni Kwa sababu ya ushindi wa timu.

Apangwe tu, hakuna kinachoharibika
Ila tukikosa ushindi Kwa uzembe tutaugua tu wote pamoja.
 
Apply same opinion to Trent n crew and all is cool well we both know u ain't do so🤣🤣🤣🤣...

YNWA
 
Sasa subiri tukose kwanza kombe ndo mtaona hizi hasara za kugonga miamba
Hahaha kwamba ubinfasi wa Mane na Salah haujatunyima makombe na tuliona its part of the game wao kua greedy kutaka kufunga kwa kua ndio kazi yao kuu... Klopp alivyoulizwa akasema ma strika wake wapo na njaa ya kufunga hivyo hana tatizo.. baadae zikaja tetesi kwamba Mane na Salah walikua na mahusiano very tense hivyo haya mambo hua yanakuja kwa rangi zote strika asipokua clinical... Sio kwa Nunez tu yamekuwepo tangu enzi... Kuna kipindi Torres baada ya kosa kosa na kiwango kushuka baada ya kutua Chelsea ziliibuka tetesi Drogba kamwedea El Nino na kum fix kwa babu haha yaan ukiwa out of form n goals mengi yatasemwa tu left n right...

Achana na habari za kina Torres Mane, Salah

Tatizo ni Nunez kulengesha miamba
Ndo tatizo la kutatua.
Acha hizo blah blah zingine.
 
Ni kwa kua mark up ya Nunez hua ni Haland kwa wengi.. Tofauti ipo Haland alikuta set up that was for his strength.. KDB in top form.... lakin Nunez akikuta wakumpa ma assit ni Milner, Henderson, Kieta nk nk..

Akose magoli tu tuzidi kujikusanyie pointi pale juu...jana kwa mara ya kwanza Manchester City walipata shoti 2 golini tu gemu nzima ni rekodi Kipara kukutana na kisiki kile cha Aston Villa hajaamini kwamba pamoja na utajiri wa wachezaji wenye vipaji watazimwa vile na Unai....

Let's appreciate hard work ya hawa vijana wetu kuchimba negative vibes all the time ain't helping no body..

Sina imani when Trent get lazy defending lakin Klopp who i trust will still put him there n he has delivered time time again hivyo its all cool Klopp knows better....

We might have different ideas kwa hawa wachezaji lakin mwalimu wao anajua their weakness na strength n I stand with Klopp hata akinoboa kiasi gani I will still still stand with him after all tumekaa na Henderson miaka yote na tulichukia lakini waaa tumoo wala hatuedi kokote...

Miss Liverpool wewe ni sworn 'enemy" wa Nunez haijalishi lipi atafanya u ill always look the other way kipi hakufanya wakati ule... Its all cool maana Klopp atampanga tu nuna zima tv atapangwa tu 😆😆😆😆

YNWA
Kiingereza kiswahili hueleweki
 
Achana na habari za kina Torres Mane, Salah

Tatizo ni Nunez kulengesha miamba
Ndo tatizo la kutatua.
Acha hizo blah blah zingine.
🤣 🤣 🤣 🤣 Bla bla haziodoi ukweli kwamba just may be just may be some slim chances zao ambazo walikua a bit greedy zilifanye tukose ubingwa...

Wewe komaaaa na Nunez mpaka msimu uishe n just may be his crucial goals n assist will win the league high on points won on club level Liverpool...

Kuna tofauti gani hapa Miss Liverpool... Nunez kazi yake kufunga lakin sasa anatoa ma assist kwa wengine wafunge aidha last pass ama second last pass na hili la Trent ambae by trade ni Right Back lakin hilo limeshinda ametu cost makombe kama UEFA Champions League nk nk lakin Trent huyo huyo akicheza kati AM ametuletea pointi muhimu haswa...

Trent can't defend yet he cracks up crackers just when we need him most ... Nunez can't score yet he pulls crazy stuff when needed most..

YNWA
 
Acha tu.

Sitamani hata kuona picha zake akiwa anaugua...ntalia bure 😭
Hii ishu ya Cruciate ligament tear imekua tatizo kubwa sana mpaka kwa soka la wanawake kiasi wameamua kuunda kikosi kutazama upya shinda inaanza wapi na namna bora kuishughulikia.

Matip anahitaji subira sana...

Tangu ametua Liverpool amekosa gemu 129 kutokana na majeruhi hivyo utaona pamoja na ubora wake hua ni mwepesi wa kuumia maana gemu 129 aisee nyingi sana tangu ametua July 2016.

YNWA
 
Back
Top Bottom