Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nunez aiseeeee hapana jamaa anakosa magoli ya wazi sana hata goli la Szobo jana pale Nunez angekosa
Yes anakosa magoli ila jiulize mbona strikers wengine hawapati hizo nafasi za kukosa?

Nunez anaweza kupata big chances tatu mpaka nne in one match lakini strikers wengine wakaambulia one chance or even half a chance! Kuna kitu cha kujifunza hapa!

Just for the record, Salah msimu wake wa kwanza alivunja record ya ufungaji EPL but he was far from being clinical as he is now, unajua kwanini? he kept on creating chances after chances. I'm not saying Salah was wasteful as Nunez is at the moment but probably he had less pressure compared to Nunez at the moment.
 
Hawa jamaa wanaenda kwa assumptions yaani 🤣
 
Chance zake anazopata nyingi kuliko strikers wengine hazitatufundisha chochote kama haziwi magoli
Kama zinapaishwa na kugonga miamba work done then equals zero.
 
Ntakua mtu wa mwisho kuamini kua Nunez atakuja kutupa super performance na kua tegemeo
 
Saint Anne
Wakipekee
Nk
Nk
Nk

YNWA
King Ngwaba
Bobby[emoji23]
Etc

Nimekugroup mapema maana najua utaingia
Hili kundi[emoji38](joking)

Mimi siwezi kumtabiria mabaya
Mpira ni mchezo wa probability.. lolote latokea
Nunez is like a coin, anakuwa tossed.. ataangukia wapi?
Head or tail,?? No one knows.


I just wish him all the best.. akishindwa
Anasepa(as you said)[emoji23]
 
Heloo Saint Anne.

YNWA
 
Nileteeee keki aaafu najiunga 🤣🤣🤣tena yenye chocolate 😂😂

Bhana we are Liverpool... Tunatofautiana kimtazamo lakin wote tunaitakia mema Liverpool... We all love this club.

YNWA
 
Heloo Saint Anne.

YNWA
Bobbyyyyyy
Naona arguments za Nunez zimekupeleka mchakamchaka umeona ukafufue comments za miaka hiyo bobby wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]

Bwana, nakumbuka niliandika baada ya Salah kumnunia Klopp eti kisa amefanyiwa sub.

Hata sasa akirudia ule ushenzi nitamchana tu.. na wenzie lazima wacheze bwana.
 
Nileteeee keki aaafu najiunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena yenye chocolate [emoji23][emoji23]

Bhana we are Liverpool... Tunatofautiana kimtazamo lakin wote tunaitakia mema Liverpool... We all love this club.

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazidisha chocolate [emoji515] ikupalie hadi uhamie group letu[emoji38].
Choculate tu umepata, na rojo [emoji1787]


Mimi tunavyotofautiana mitazamo hivi naenjoy [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vibe napata yaani
Vikombe vinakaaje kwenye sinia bila kugongana..
Tungekuwa wote na mitazamo sawa aisee kungepoa kama maji ya mtungini.


Imagine wote tungekuwa na mtazamo kama wa MosDef kwamba Trent bangi imemkolea[emoji1787]
Trent asingekuwa na chake

Ama wote tungekuwa na mtazamo kama wa kwangu kwamba Nunez fungu la kukosa...
Maskini katoto la watu toka vijijini Uruguay kangepauka.


Ilaa angalau wapo wa kumdiss mtu, wapo wa kumuunga mkono.
Yaani full vibe Uzi unanoga,,, kila nikichungulia naangalia mmeandika nini nicheke.
 
Heloo Saint Anne.

YNWA
Hii comment imenifanya nirudi juu kusoma[emoji23]
Jamani msimu jana tulikuwa kwenye mateso kama tupo kuzimu vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Kuja wakuu wamepotea
Mondela simuoni

Ni watu tuliopitia pamoja kwenye moto msimu wetu mbaya.

Bachelor ll we mhuni umepata sana goodtime timu yetu ilipotetereka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ladder 49 nilitaka kumtag jana ila naona amerudi

Baba Swalehe I miss you badly my mubebe
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Kwa sasa Salah hata anune umooo... I guess baada ya kukosa UCL Salah alipata somo la nguvu sana kwamba ushindi wa timu ndio kila kitu mwisho wa msimu maana ndio unatoa msimamo wapeee tunamaliza ligi je nje ya UCL ama ndaniiii ya UCL...
Kwa sasa amekua mchezeshaji zaidi pamoja anasaka hizo personal accolades kashaelewa zitakuja tu ni suala la muda.... Ukitazama Messi utaelewa kwa nini ukiwa mchezeshaji chance zinakufuata kama zote maana hata ile presha inapungua kwa vile inakua team work kusaka magoli pale na kuwapoteza mabeki wasijue wakomae kwa nani...

YNWA
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Tumepatia magumu sana aisee...
Cheers kwa mashabiki wote wa majogoooo ebu tujipongeze maana last season ilikua tanuri la moto balaa angalau leo tunatembea kifua mbele na jezi tunavaa tenaa za ma jogoo
Leo nimetupia uzi wangu safiii kabisa wa majogooo
View attachment IMG_20231208_182934.jpg


YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…