Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Quansah anatosha ndio ujumbe wa Klopp na pia ifahamike Endo ni beki mzuri tu alikotoka alicheza CB pia.
🤣 🤣 🤣 🤣 Its all about enjoying miss Liverpool...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazidisha chocolate [emoji515] ikupalie hadi uhamie group letu[emoji38].
Choculate tu umepata, na rojo [emoji1787]
Mimi tunavyotofautiana mitazamo hivi naenjoy [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vibe napata yaani
Vikombe vinakaaje kwenye sinia bila kugongana..
Tungekuwa wote na mitazamo sawa aisee kungepoa kama maji ya mtungini.
Imagine wote tungekuwa na mtazamo kama wa MosDef kwamba Trent bangi imemkolea[emoji1787]
Trent asingekuwa na chake
Ama wote tungekuwa na mtazamo kama wa kwangu kwamba Nunez fungu la kukosa...
Maskini katoto la watu toka vijijini Uruguay kangepauka.
Ilaa angalau wapo wa kumdiss mtu, wapo wa kumuunga mkono.
Yaani full vibe Uzi unanoga,,, kila nikichungulia naangalia mmeandika nini nicheke.
This is my Bobby😍😋😋😋 weuweeee🔥🔥🔥🔥🔥🤣 🤣 🤣 🤣 Tumepatia magumu sana aisee...
Cheers kwa mashabiki wote wa majogoooo ebu tujipongeze maana last season ilikua tanuri la moto balaa angalau leo tunatembea kifua mbele na jezi tunavaa tenaa za ma jogoo
Leo nimetupia uzi wangu safiii kabisa wa majogooo
View attachment 2836818
YNWA
Mie kuna muda huwa nawabishia niwaenjoy tu🤣 🤣 🤣 🤣 Its all about enjoying miss Liverpool...
Sometimes we will differ n argue with logic n fact that th Liverpool way kuna muda humu tuliona aaa Klopp apewe virago asepe anatuvuruga, mara Salah auazwe, mara Trent piga bei, mara Nunez ni flop, mara Kieta abakie Liverpool, mara auzwe Salah tubaki na Mane 🤣Miss Liverpool huyo nk nk nk..
We all want the best of the best that is winning trophies...
Au fruit cake moja maridadi sanaaa.
YNWA
❤️You're missed much
Trent Alexander Arnold is the best player in the world🤣 🤣 🤣 Aisee kwa hayo magoli matatu ndio awe best player... Kumbe dokta miss Liverpool kashakurubuni.
YNWA
Mwambie huyoTrent Alexander Arnold is the best player in the world
Loved tooHii comment imenifanya nirudi juu kusoma[emoji23]
Jamani msimu jana tulikuwa kwenye mateso kama tupo kuzimu vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuja wakuu wamepotea
Mondela simuoni
Ni watu tuliopitia pamoja kwenye moto msimu wetu mbaya.
Bachelor ll we mhuni umepata sana goodtime timu yetu ilipotetereka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ladder 49 nilitaka kumtag jana ila naona amerudi
Baba Swalehe I miss you badly my mubebe
Bebe [emoji7][emoji3590]
Nimefurahi nimekuonaLoved too
Klopp out[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Its all about enjoying miss Liverpool...
Sometimes we will differ n argue with logic n fact that th Liverpool way kuna muda humu tuliona aaa Klopp apewe virago asepe anatuvuruga, mara Salah auazwe, mara Trent piga bei, mara Nunez ni flop, mara Kieta abakie Liverpool, mara auzwe Salah tubaki na Mane [emoji1787]Miss Liverpool huyo nk nk nk..
We all want the best of the best that is winning trophies...
Au fruit cake moja maridadi sanaaa.
YNWA
🤣 🤣 🤣 🤣 Wapeeeee umeona mie kaka wa Captain Chaos 🔥🔥🔥🔥🔥This is my Bobby😍😋😋😋 weuweeee🔥🔥🔥🔥🔥
Nimekuona njiani🤣🤣🤣🤣
Baba swalehe nlimis ile chance ya mwisho kupata kitabu aisee by the way nafrahia msimu huu tuna jambo letu mabaya yaendelee kumiminika kwa kipara.😎Hii comment imenifanya nirudi juu kusoma[emoji23]
Jamani msimu jana tulikuwa kwenye mateso kama tupo kuzimu vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuja wakuu wamepotea
Mondela simuoni
Ni watu tuliopitia pamoja kwenye moto msimu wetu mbaya.
Bachelor ll we mhuni umepata sana goodtime timu yetu ilipotetereka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ladder 49 nilitaka kumtag jana ila naona amerudi
Baba Swalehe I miss you badly my mubebe
Sasa ni wakati wa Jarell QuansahKwa umri wake inaweza kua career breaker aisee.
Hatuna tena ball carrier pale DF, alikua ni Matip tu mwenye huo ujasiri.
YNWA
Nikasema nani huyu anafanana na Nyunyezi🤣 🤣 🤣 🤣 Wapeeeee umeona mie kaka wa Captain Chaos 🔥🔥🔥🔥🔥
YNWA
Kuna wale nyau wamekalia kuti kavu kule kileleniBaba swalehe nlimis ile chance ya mwisho kupata kitabu aisee by the way nafrahia msimu huu tuna jambo letu mabaya yaendelee kumiminika kwa kipara.😎
Nyunyezi sasa amekuja kumdondosha Salah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwa sasa Salah hata anune umooo... I guess baada ya kukosa UCL Salah alipata somo la nguvu sana kwamba ushindi wa timu ndio kila kitu mwisho wa msimu maana ndio unatoa msimamo wapeee tunamaliza ligi je nje ya UCL ama ndaniiii ya UCL...
Kwa sasa amekua mchezeshaji zaidi pamoja anasaka hizo personal accolades kashaelewa zitakuja tu ni suala la muda.... Ukitazama Messi utaelewa kwa nini ukiwa mchezeshaji chance zinakufuata kama zote maana hata ile presha inapungua kwa vile inakua team work kusaka magoli pale na kuwapoteza mabeki wasijue wakomae kwa nani...
YNWA
mwenyewe nawazoom tuu siku zaozinahesabika wajue nafasi za wanaume waendelee kujishaua.Kuna wale nyau wamekalia kuti kavu kule kileleni
Wanaona maisha wameyapatia
🤣 🤣 🤣 🤣 1st 11 ya Klopp namba 9 wake yumoooo... Boy ain't for warming the bench haha...Nyunyezi sasa amekuja kumdondosha Salah
Anakuwa mchezeshaji,,anampasia bwege mmoja anagonga mwamba
Akinuna ntamsema tu.
Ila kuanza 11st eleven lazima aanze.
Si lazima acheze dakika zote 90.
Kocha wa Quansah pale Championship alisema dogo ni super talent aisee na Klopp mdogo mdogo anakwenda nae nadhani baada ya kuumia kwa Bajetic ilitoa fundisho kwamba hawa ma graduate wapelekwe mdogo mdogo sana dakika za team 1 ili kuwalinda sana kupata long term injury.Sasa ni wakati wa Jarell Quansah