Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazidisha chocolate [emoji515] ikupalie hadi uhamie group letu[emoji38].
Choculate tu umepata, na rojo [emoji1787]


Mimi tunavyotofautiana mitazamo hivi naenjoy [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vibe napata yaani
Vikombe vinakaaje kwenye sinia bila kugongana..
Tungekuwa wote na mitazamo sawa aisee kungepoa kama maji ya mtungini.


Imagine wote tungekuwa na mtazamo kama wa MosDef kwamba Trent bangi imemkolea[emoji1787]
Trent asingekuwa na chake

Ama wote tungekuwa na mtazamo kama wa kwangu kwamba Nunez fungu la kukosa...
Maskini katoto la watu toka vijijini Uruguay kangepauka.


Ilaa angalau wapo wa kumdiss mtu, wapo wa kumuunga mkono.
Yaani full vibe Uzi unanoga,,, kila nikichungulia naangalia mmeandika nini nicheke.
🤣 🤣 🤣 🤣 Its all about enjoying miss Liverpool...

Sometimes we will differ n argue with logic n fact that th Liverpool way kuna muda humu tuliona aaa Klopp apewe virago asepe anatuvuruga, mara Salah auazwe, mara Trent piga bei, mara Nunez ni flop, mara Kieta abakie Liverpool, mara auzwe Salah tubaki na Mane 🤣Miss Liverpool huyo nk nk nk..
We all want the best of the best that is winning trophies...

Au fruit cake moja maridadi sanaaa.

YNWA
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Tumepatia magumu sana aisee...
Cheers kwa mashabiki wote wa majogoooo ebu tujipongeze maana last season ilikua tanuri la moto balaa angalau leo tunatembea kifua mbele na jezi tunavaa tenaa za ma jogoo
Leo nimetupia uzi wangu safiii kabisa wa majogooo
View attachment 2836818


YNWA
This is my Bobby😍😋😋😋 weuweeee🔥🔥🔥🔥🔥
Nimekuona njiani🤣🤣🤣🤣
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Its all about enjoying miss Liverpool...

Sometimes we will differ n argue with logic n fact that th Liverpool way kuna muda humu tuliona aaa Klopp apewe virago asepe anatuvuruga, mara Salah auazwe, mara Trent piga bei, mara Nunez ni flop, mara Kieta abakie Liverpool, mara auzwe Salah tubaki na Mane 🤣Miss Liverpool huyo nk nk nk..
We all want the best of the best that is winning trophies...

Au fruit cake moja maridadi sanaaa.

YNWA
Mie kuna muda huwa nawabishia niwaenjoy tu


Mkikomaa kunijibu nasoma nacheeeka😂😂😂😂
All in all Bobby huwa unaelewa hizi stori za vijiwe vya kahawa..tunaquotiana tunacheka.🤣🤣
Msimu Jana walituachia uzi pekeyetu😂😂😂😂


Fruits cakeJust for yuh,Bobby
Ukikohoa tu naleta😂😂😂
 

Attachments

  • IMG-20231125-WA0041.jpg
    IMG-20231125-WA0041.jpg
    103.7 KB · Views: 3
Hii comment imenifanya nirudi juu kusoma[emoji23]
Jamani msimu jana tulikuwa kwenye mateso kama tupo kuzimu vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Kuja wakuu wamepotea
Mondela simuoni

Ni watu tuliopitia pamoja kwenye moto msimu wetu mbaya.

Bachelor ll we mhuni umepata sana goodtime timu yetu ilipotetereka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ladder 49 nilitaka kumtag jana ila naona amerudi

Baba Swalehe I miss you badly my mubebe
Loved too
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Its all about enjoying miss Liverpool...

Sometimes we will differ n argue with logic n fact that th Liverpool way kuna muda humu tuliona aaa Klopp apewe virago asepe anatuvuruga, mara Salah auazwe, mara Trent piga bei, mara Nunez ni flop, mara Kieta abakie Liverpool, mara auzwe Salah tubaki na Mane [emoji1787]Miss Liverpool huyo nk nk nk..
We all want the best of the best that is winning trophies...

Au fruit cake moja maridadi sanaaa.

YNWA
Klopp out
Gerrard In

Laana ya Mane

Akiyanani mimi nilishika bango[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii comment imenifanya nirudi juu kusoma[emoji23]
Jamani msimu jana tulikuwa kwenye mateso kama tupo kuzimu vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Kuja wakuu wamepotea
Mondela simuoni

Ni watu tuliopitia pamoja kwenye moto msimu wetu mbaya.

Bachelor ll we mhuni umepata sana goodtime timu yetu ilipotetereka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ladder 49 nilitaka kumtag jana ila naona amerudi

Baba Swalehe I miss you badly my mubebe
Baba swalehe nlimis ile chance ya mwisho kupata kitabu aisee by the way nafrahia msimu huu tuna jambo letu mabaya yaendelee kumiminika kwa kipara.😎
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwa sasa Salah hata anune umooo... I guess baada ya kukosa UCL Salah alipata somo la nguvu sana kwamba ushindi wa timu ndio kila kitu mwisho wa msimu maana ndio unatoa msimamo wapeee tunamaliza ligi je nje ya UCL ama ndaniiii ya UCL...
Kwa sasa amekua mchezeshaji zaidi pamoja anasaka hizo personal accolades kashaelewa zitakuja tu ni suala la muda.... Ukitazama Messi utaelewa kwa nini ukiwa mchezeshaji chance zinakufuata kama zote maana hata ile presha inapungua kwa vile inakua team work kusaka magoli pale na kuwapoteza mabeki wasijue wakomae kwa nani...

YNWA
Nyunyezi sasa amekuja kumdondosha Salah [emoji23][emoji23][emoji23]
Anakuwa mchezeshaji,,anampasia bwege mmoja anagonga mwamba[emoji38][emoji13]


Akinuna ntamsema tu.
Ila kuanza 11st eleven lazima aanze.


Si lazima acheze dakika zote 90.
 
Nyunyezi sasa amekuja kumdondosha Salah
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Anakuwa mchezeshaji,,anampasia bwege mmoja anagonga mwamba
emoji38.png
emoji13.png



Akinuna ntamsema tu.
Ila kuanza 11st eleven lazima aanze.


Si lazima acheze dakika zote 90.
🤣 🤣 🤣 🤣 1st 11 ya Klopp namba 9 wake yumoooo... Boy ain't for warming the bench haha...

YNWA
 
Sasa ni wakati wa Jarell Quansah
Kocha wa Quansah pale Championship alisema dogo ni super talent aisee na Klopp mdogo mdogo anakwenda nae nadhani baada ya kuumia kwa Bajetic ilitoa fundisho kwamba hawa ma graduate wapelekwe mdogo mdogo sana dakika za team 1 ili kuwalinda sana kupata long term injury.

YNWA
 
Back
Top Bottom