Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20230114_213842_com.android.chrome_edit_161477037623276.jpg
    96.5 KB · Views: 4
Zima Tv anaanza ugenini Palace yaaan huyu unae kila ukitazama benchi hayumo.

Wewe na Klopp nani anajua zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
Tv hatuzimi
Pona yake itakuwa ni kupata


Akigongesha miamba tunaruka naye.
Mwaka huu hadi ukauke mate kwa kutetea makengeza ya miguu πŸ˜‚
 
Leo hajasuka mbili kichwa?[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Au kasuka twende kilioni πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„..

Yaani huyu dogo ni pre mature kabisa nilimshangaa sana alivyoshangilia kwa fujo mechi iliyopita tena na kumkumbatia kocha pale Endo alipofunga wakati yeye kakosa nafasi zaidi ya tatu za one against one na kipa....πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Weekend hii nikiambiwa nichague nani alose game yake kati ya Arsenal au Citizen ,, basi ntaomba Citizen alose Arsenal awin. Bado naamini Citizen ndio mbaya wetu, we have been in pep's nightmare for a long.
 
Weekend hii nikiambiwa nichague nani alose game yake kati ya Arsenal au Citizen ,, basi ntaomba Citizen alose Arsenal awin. Bado naamini Citizen ndio mbaya wetu we have been in pep nightmare for a long.

If you think of catching arsenal, that’s a daytime dream.
We don’t expect to drop points unless we are hit by injuries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…