Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna Watu waliaminishana kuwa Liverpool ilikuwa ikibebwa na Mane.

Waliamini Salah bila ya Mane si lolote kwasasababu eti alikuwa akibebwa na Mane.

Mane kaondoka nadhani tumeona nani hasa alikuwa akibebwa na mwenzake.

Salah Moto ni uleule baada ya kuondoka Mane, but Mane aligeuka Bondia baada ya kuondokana na Salah.

Liverpool msimu huu imekuwa bora zaidi licha ya kuwa only Mac na Szobo ndiyo serious signing za Msimu huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20230114_213842_com.android.chrome_edit_161477037623276.jpg
    Screenshot_20230114_213842_com.android.chrome_edit_161477037623276.jpg
    96.5 KB · Views: 4
Leo hajasuka mbili kichwa?[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Au kasuka twende kilioni 😄😄😄..

Yaani huyu dogo ni pre mature kabisa nilimshangaa sana alivyoshangilia kwa fujo mechi iliyopita tena na kumkumbatia kocha pale Endo alipofunga wakati yeye kakosa nafasi zaidi ya tatu za one against one na kipa....😄😄😄😄
 
Weekend hii nikiambiwa nichague nani alose game yake kati ya Arsenal au Citizen ,, basi ntaomba Citizen alose Arsenal awin. Bado naamini Citizen ndio mbaya wetu, we have been in pep's nightmare for a long.
 
Weekend hii nikiambiwa nichague nani alose game yake kati ya Arsenal au Citizen ,, basi ntaomba Citizen alose Arsenal awin. Bado naamini Citizen ndio mbaya wetu we have been in pep nightmare for a long.

If you think of catching arsenal, that’s a daytime dream.
We don’t expect to drop points unless we are hit by injuries.
 
Back
Top Bottom