Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Mpaka dakia ya 73 washalala la 3.Solanke kashafanya yake kwa Manure ππ
Mashabiki wa kike bhana [emoji23]Saint Anne eeeeeh
Nadhani umeona kuna Alison Beckor na kuna Caohmin Kelleher.
Je, bado unashikilia msimamo Kelleher kama Beckor tu?
Au utakubaliana na MosDef kwamba Kelleher hatafikia level za Alison wala hatofikia hiyo level.
Saint Anne eeeeeh

π€£ π€£ π€£ Kutesa kwa zamu ndugu, mambo yanakwenda chap haraka leo mmewatia wengi hasara wale wa kubeti maana mlicheza safii dhidi ya Chelsea lakini leo hamjaamka kabisa sielewi hamkua tayari kwa hii gemu ama namna gani... Malizana kwanza na Bavarians UCL aafu tuonane Anfied wekedi.Hahaha siku hizi ni mwendo wa kupewa pole tu. Hongera mkuu kwa comeback ya kibabe
Hawa kenge mwisho wao wa dezo ya kileleni umekwisha[emoji1787]Naona msimamo ndio hivi...
View attachment 2837963
DullyJr naona unaachia usukani leo kama kipindi cha pili hamtopata jibu kwa Unai.
YNWA
Msimamo wangu ni uleuleSaint Anne eeeeeh
Nadhani umeona kuna Alison Beckor na kuna Caohmin Kelleher.
Je, bado unashikilia msimamo Kelleher kama Beckor tu?
Au utakubaliana na MosDef kwamba Kelleher hatafikia level za Alison wala hatofikia hiyo level.
Kelleher hata level ya prime Simon Mignolet hawezi fikia achiliambali Alisson Becker
Kelleher ana potential ya kuwa kipa mzur bado ni dogo yule hajafka pick yake kumfananisha na Alisson ni kumkosea heshima alissonMsimamo wangu ni uleule
Kelleher ni the best golikipa
Wakumuombea njaa zaidi ni kipara apoteze point zaidi na kesho arsenal sina wasiwasi nao hata kidogo wale ni wavulana wadogo hawawezi mbio za marathon za wanaume. Arsenal hata akituacha na point tano na hakika hatoboi February na hizo point ila kipara ndo moto wa kuotea mbaliNaona msimamo ndio hivi...
View attachment 2837963
DullyJr naona unaachia usukani leo kama kipindi cha pili hamtopata jibu kwa Unai.
YNWA
Anymore comment bro!If you think of catching arsenal, thatβs a daytime dream.
We donβt expect to drop points unless we are hit by injuries.
Mbio zenu za sakafuni zimefika ukingoniCrystal palace ana hali mbaya sana jamani. Mwachieni awapige hiihalafu marudio mtampiga
Unanisnitch eeeh!? [emoji1787][emoji1787]Nilipita kimya kimya kwa Saint Anne kumbe umeona sevu...
Allison levo yake kwa kuokoa ni next level.
Kelleher is just Kelleher hana maajabu.
YNWA
Hatuna tabia ya kuchana mikeka [emoji23]Liverpool wanaondoka na mikeka yangu yote dah
DM muhimu aisee leo tazama Endo alivyo struggle vs Palace....Wakumuombea njaa zaidi ni kipara apoteze point zaidi na kesho arsenal sina wasiwasi nao hata kidogo wale ni wavulana wadogo hawawezi mbio za marathon za wanaume. Arsenal hata akituacha na point tano na hakika hatoboi February na hizo point ila kipara ndo moto wa kuotea mbali