King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Msimu huu mechi zote mpaka sasa kila mechi lazima tufunge goli.
Hakuna mechi ambayo tumezibitiwa kufunga goli,wenzetu mechi inaisha hawafungi goli lolote.
Tunahitaji kuberesha ulinzi tu sasa ndiyo kazi tunayotakiwa kufanya mamake Jana Wataru ali-struggle mpaka nikamuonea huruma.