Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbuka aliyekuwa anabeba ubingwa kwa favours za Marefa ni Manure ya Ferguson na Man City ya Pep tu.

Chelsea kipindi chote cha Abramovic hakuwahi kubeba ubengwa kwa Favours za Marefa bali alipigana kiume kivyake vyake.

Hivi na wewe Arsenal na sisi LiverpoolFC tusitegemee kubeba ubingwa kwa Favours za Marefa ndiyomana mpaka sasa tuna Red Cards 4 huku tukinyimwa points 3 za wazi dhidi ya Spurs.

Kiufupi ili ushindwe ubingwa unatakiwa uyashinde mazingira magumu kama hayo bila ya kutegemea huruma.

But Anfield hata aje achezesha Arteta nadhani unajua wazi kuwa huwezi kuondoka na points.View attachment 2838535
Acha zako Ngwaba, Liverpool ni moja ya timu zilizonufaika na maamuzi ya hovyo ya marefa na inaendelea kunufaika. Liverpool na Man utd hazina tofauti linapokuja suala la marefa. Kuna United, Liver, Newcastle, City hawa ndio marafiki wa Pgmol.
 
Good 👍

Kumbe my fellow Kop unazungumzia msimamo na sio facts?

Kama ni hivyo upo sahihi kwasababu hata Privaldinho anaamini Yanga ni bora kuliko Masandawana (Mamelody) kwasababu ndiyo msimamo wake.

Ni sawa na Malafyale anaamini kuwa Henderson ni bora kuliko Gerrard kwasababu ndiyo msimamo wake.

Ni sawa na wengi humu kuna kipindi waliamini Origi na Shaqiri ni bora kuliko Salah.

😅
😂😂😂
Unajua Kalleher anapewa airtime kwa manati na bado ana deliver

Kacheza hadi fainali na wapinzani imara Chelsea wakiwa katika ubora wao
Na tukashinda.

Angekuwa Allison,,ule muda wa magolikipa kupiga penati,angepaisha kama Kepa.
 
Liver mabingwa wa dunia tunakiwasha babeq🔥🔥🔥🔥
Mwendo wa chopper,hatuna reverse🔥🔥
 
King ngwaba hizi mechi za maelekezo, sisi huwezi kutufunga bila maelekezo, waliotufunga wote hakuna aliyetuzidi mpira ni support ya Marefa, sisi ni moto wewe.
Unajua hata jana kulikuwa na maelekezo. Sidhani kama Jarell alicheza faulo pale. Labda mnaojua mpira mnisaidie.
Mimi nimeona mguu wa Jarell ukiingia kati ya miguu ya mshambulizi wa Palace mara baada ya mpira kuchezwa.
 
Watu mnabet kimazoea na kila siku mnalia!! Yaan hajui kusuka mkeka wake anasubiri code za watu humu ili awake mkeka!!

Narudia kusema mtakua mnaliwa hivyo hivyo kila siku..huwa napigwa ila huwa nakula sana tu pia.

Ushauri achaneni na matren mnapoteza muda na pesa, Acha kuomba au kuchukua code hum unapoteza muda tu.

Unashindwa kutafuta mechi 5 tu ijumaa,jmos na jpil!!mtahama sana makampuni hakuna cha maana utakacho pata. Kama ww sio mtu wa football ni bora uachane ma haya mambo tu. Watu wanabet kimazoea tu na kufata mkumbo!

Ni hayo tu sina mengi ,endeleeni kupeana code za tren na ujinga mwingine wa aina hiyo.
 
DM muhimu aisee leo tazama Endo alivyo struggle vs Palace....
Tuna katika mno pale kati kati bila kuwapa ulinzi mabeki tutapata matatizo.
Kipara bila KDB kumlisha Halaand wanapata matatizo makubwa sana.
Cha msingi tujikusanyie pointi mapema za kutosha maana Kipara kuanzia Februari hua hatanii kabisa.

YNWA
Yaani hapa tulipofika mm sikutegemea kabisa gem dhidi ya Chelsea niliona shida ilivyo pale kati. Tuna mapungufu makubwa sana DM. Tujitahidi January tumlete yule dogo mbarazil na beki mmoja angalau tunaweza kimbizana na kipara maana akija fufuka KDB kipara hata poteza point tena wakati wakumuombea njaa ni sasa.

February anakuaga mwingine kabisa hapotezagi point hata kidogo
 
Kweli Mkuu ile gemu ya Chelsea ilichezwa kimtego sana kiasi pale kati palitoa picha ya ku struggle sana mbeleni lakin imekua tofauti... Vijana wamemwelewa Klopp anachokitaka japo huyu dogo Domy hasemwi sana kazi inayoifanya ila anapambana sana kusaidia MF kwenda mbele na kuharibu mipango ya wapinzani...
Kila mmoja anaelewa mwalimu anachokitaka kwa muda gani na hakika wame deliver uwanjani vijana.
Kuumia kwa Matip kunaleta changamoto sana uwanjani kwa kua tunabaki na Konate kama senior CBR klabuni kwa kua Gomez anatumika muda mwingi kama RB... Dogo Quansah ameonyesha dalili ya kusaidia kwa sasa japo jana katoa penati lakin dalili ni njema kwake pembeni mwa VVD kwamba anafundishika...

January sokoni Klopp lazima aache bla bla zake kama ubingwa anautaka.

YNWA
 
Yaani nyie mmempiga Crystal palace kweli. Timu inayougulia maumivu? Hata hivyo, kuna mtu atakuja kuwaadhibu kwa ajili yao kama Tottenham walivyowapiga Newcastle kwa ajili yetu
Endelea kusubiri mbeleko za timu nyingine.

Mbeleko yetu ndo iliwaweka pale juu mkaona maisha mmeyapatia

EPL haina ushindi wa papatupapatu wa mbeleko
 
Endelea kusubiri mbeleko za timu nyingine.

Mbeleko yetu ndo iliwaweka pale juu mkaona maisha mmeyapatia

EPL haina ushindi wa papatupapatu wa mbeleko
Kwa haya maneno mbofu mbofu nawalaani. Kuanzia sasa mtapokea vipigo na mkikutana na sisi tutawapiga kipigo cha uuumbwa koko
 
Watu mnabet kimazoea na kila siku mnalia!! Yaan hajui kusuka mkeka wake anasubiri code za watu humu ili awake mkeka!!

Narudia kusema mtakua mnaliwa hivyo hivyo kila siku..huwa napigwa ila huwa nakula sana tu pia.

Ushauri achaneni na matren mnapoteza muda na pesa, Acha kuomba au kuchukua code hum unapoteza muda tu.

Unashindwa kutafuta mechi 5 tu ijumaa,jmos na jpil!!mtahama sana makampuni hakuna cha maana utakacho pata. Kama ww sio mtu wa football ni bora uachane ma haya mambo tu. Watu wanabet kimazoea tu na kufata mkumbo!

Ni hayo tu sina mengi ,endeleeni kupeana code za tren na ujinga mwingine wa aina hiyo.
We mcheza kamari umekosea njia.
 
FB_IMG_17021925530637344.jpg

YNWA
 
Ramli kama Ramli
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Soka la ulaya linatawaliwa na karma balaa. Muulize Newcastle alivyopewa ushindi wa 1-0 dhidi yetu. Mpira ulitoka nje, offside na foul, vyote eti VAR wakasema 'inconclusive' na kuwapa goli. Kocha akalalamika ila tulichoambulia ni FA charge.

Kilichofuata kwa Newcastle ni penalty dhidi ya PSG dakika ya 97 wakasuluhu. Mpira ule ulionekana wazi kabisa ulidunda kwenye mwili wa Livramento akiwa mbioni hivyo haikutakiwa kuwa penalty. Sasa hawa ndugu zetu wana hatari ya kukosa hata Europa.

Na karma bado haijaacha kuwatafuna. Eti wanapigwa 3-0 na kiEverton, 4 na Tottenham. Na vipigo vitaendelea. Mpaka msimu uishe wakijikuta top 10 watafurahi kama wameshinda ligi.
 
Chance zake anazopata nyingi kuliko strikers wengine hazitatufundisha chochote kama haziwi magoli
Kama zinapaishwa na kugonga miamba work done then equals zero.
Generally in football the most difficult thing is creating scoring opportunities, sasa kama una mtu ambae ni natural opportunity creator tayari umetatua nusu ya tatizo la timu.

Nunez will win a Ballon D'or in five years! ... save this!
 
OllaChuga Oc msimamo wako...
Una pointi 19 baada ya kucheza gemu 16.
Umeachwa pointi 18 na Liverpool anaeongoza Ligi kwa pointi 37.
Upo zaidi kushuka mkiani kwa kua Chelsea na Sheffield anaeshika mkia wameachana na pointi 10.

Tukumbushane Chelsea mmewekeza zaidi ya £1 billion tangu waje wamiliki wapya lakini matokeo msimamo upo tofauti kabisa.

Kweli mipango sio mafanikio.

YNWA
 
Back
Top Bottom