Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Viol wacha mi nilale swahiba...! Goma letu limekwisha leo, Chelsea 2 QPR 1

Kesho tutaangalia nani kiboko... Pellegrno au Van Gaal....?

Pamoko sn mkuu...!

Chelsea Fc 4ever

Tarehe 8 ni Ushindi tu...!

#KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
Viol wacha mi nilale swahiba...! Goma letu limekwisha leo, Chelsea 2 QPR 1

Kesho tutaangalia nani kiboko... Pellegrno au Van Gaal....?

Pamoko sn mkuu...!

Chelsea Fc 4ever

Tarehe 8 ni Ushindi tu...!

#KTBFFH

Usiku mwema mkuu tusubiri hawa man u man city kesho.
 
Last edited by a moderator:
Remember when we thought Barcelona w'd snap BR from US!!!

HHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAH!

that was a great BANTER everrr!!

#LifeOfAliverpoolFan
 
Wale ndugu zetu ambao walianza kuishabikia LFC kwa yale mafanikio ya last season, naomba niwakaribishe rasmi LFC...

WELLCOME TO LIVERPOOL FOOTBALL CLUB..

#LifeOfALiverpoolFan
 
takwimu zinaonyesha kwamba katika mgawanyo wa games 58 chini ya BR tulipata CLEEN SHEET 22, kati ya hizo 22, games 20 DANIEL AGGER alicheza...

but akaja kuuzwa kwa £2mill tu!!..
 
Back
Top Bottom