Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumpe basi airtime halafu tuone

Mnasemaje siyo the best kwa kumlinganisha na mtu mnayempa adake kila mechi

Kaleller kacheza mechi chache sana..
Naye tumpe airtime kama anayopewa Allison,,hapo sasa mtapata uhalali wa kumrate.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wazungu kwenye football wanaongozwa na data. Angekuwa level za Beckor asingekuwa this long as 2nd GK kwa Alison. Last season kama sijasahau Beckor aliumia almost two months kwa ubora unaousema wewe ulitosha kuchukua namba kwa Beckor.

Ni mzuri Kelleher ila sio kwa level ya Beckor, tafadhali sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ukiangalia mechi na mimi utacheka ufe
Huwa narusha miguu ,vichwa,mikono
Yaani reactions zangu huwa zinapelekea nachoka sana.
Ikifika half time huwa naenda kuoga kwa uchovu.

Hadi mechi iishe nasweat sana..chapachapa utadhani nimetoka utadhani na mimi nimetoka kusakata kambumbu.
Na salia Mungu iwe tumeshinda,,tukishindwa hapo yaani machozi yangu yapo karibu sana.

I know my weaknesses and by saying so I decided not to watch live matches...
Huwa nacheck marudio ,I don't want unnecessary pressure, nacheck mechi nikiwa na matokeo mkononi na specific time tulizofungwa au kufunga na nani kafunga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haha sasa hivyo raha muwe timu moja kama hivi ok. Ukiwa tofauti ni janga.

Ukitaka kuziweza hizo emotion just jipe matarajio hafifu ya mechi, usiangalie na matarajio ya ushindi. Ingia amini lolote litatokea
 
Kuna mashabiki tuchukue 200 hiyo kwa waarabu pesa nyingi tunae Elliot na Doak, Diaz & Jota can play RW too. Sasa hivi ingekuwa ni matusi kwa kina Elliot na Diaz. Plus kosa kosa za Nunez ndio kabisaaaa.

Sasa hivi hizo 200 hata hawazitaki wanataka Salah aongezewe mkataba.

No problem the difference of views and opinions, the beauty of this game.
 
Hata wakileta 500 bado hatutaki
Tunamtaka Salah wetu tu

Jota wodini
Nunez Mzee wa kupasua miamba
Elliot utani mchana kweupee
Nunez chenga nyingi

Ingekuwa kilio na kuomboleza hapa
 
Wazungu kwenye football wanaongozwa na data. Angekuwa level za Beckor asingekuwa this long as 2nd GK kwa Alison. Last season kama sijasahau Beckor aliumia almost two months kwa ubora unaousema wewe ulitosha kuchukua namba kwa Beckor.

Ni mzuri Kelleher ila sio kwa level ya Beckor, tafadhali sana
Milner na Hendo,Ox mbele
Anakuwaje golikipa bora kwenye hicho kikosi?
 
Haha sasa hivyo raha muwe timu moja kama hivi ok. Ukiwa tofauti ni janga.

Ukitaka kuziweza hizo emotion just jipe matarajio hafifu ya mechi, usiangalie na matarajio ya ushindi. Ingia amini lolote litatokea
Timu tofauti ndio inabamba sasa
Ila tukishinda aisee mpinzani atanichukia..nashangilia goli kwa nguvu zote🤣🤣🤣🤣

I can't lower my expectations
 
Kishingo wako Matip huenda mechi ya Fulham ikawa ya mwisho kwake pale Anfield. ACL huchukua hadi 9 months kupona. Mkataba wake unaisha summer hii sioni akiongezewa mkataba
Kwa uweza wa Mungu atarudi kabla ya muda
Madaktari hutibu,Mungu anaponya.

Sema tungemuuzaga mapema msimu kabla haujaanza.
Huruma za Klopp.
 
Kishingo wako Matip huenda mechi ya Fulham ikawa ya mwisho kwake pale Anfield. ACL huchukua hadi 9 months kupona. Mkataba wake unaisha summer hii sioni akiongezewa mkataba

Screenshot_20231213-210807.jpg
 
Mkuu Captain Marvelous hivi Unahisi Quansah atakuja kusparkle kama alivyotoka Trent?
Jarell Quansah mzaliwa wa Wallington yupo pale Liverpool tangu ana miaka 5 hivyo huyu ni home boy kama Trent ni pure scouser huyu.
Amekua Captain wa under 18 na pia imeiwakilisha Uingereza Kombe la Dunia la vijana last season..
Kipindi cha pili cha msimu uliopita alikwenda kwa mkopo Bristol chini ya kocha mtukutu Joey Barton na wakati huo baada ya kukipga mechi kadhaa Joey alisema dogo Quansah ana kipaji cha kufika levo za juu akijituma na kua na utulivu...
Mwaka huu kiangazi timu kadhaa walileta ofa ya kumhitaji kwa mkopo lakin Klopp akasema abakie apate dakika mechi za kirafiki pre season na dogo alivyopata nafasi hakua na kingiine zaidi ya kumwonyesha Klopp anachoweza kuleta kikosini na baada ya hapo Klopp hakuedekeza tena ishu ya mkopo kwake na ndio huyu hapa sasa anapata dakika EPL ligi ngumu kuliko zote na mpaka sasa ukiacha ile penati ya Crystal Palace amekua na wakati mwema.
Huyu dogo pia anaweza kucheza RB akihitajika aliwai kucheza RB.

VVD anasema kipaji kipo apewe muda na dakika na Klopp anafanya hivyo hivyo.

YNWA
 
Reshuffle ya MF msimu huu umemuongezea Salah wepesi wa kukaa juu kiasi ndio maana stats zake msimu huu ni tofauti na msimu uliopita so far. Tukipata proper DM and LCB probably, we will have a balanced team to compete for tittles
Bwana Klopp kashanusa ubingwa unawezekana msimu huu hivyo ameamua atupe karata yake kwa The Beast Joao Palhinha kutoka Fulham japo umri umesogea wa dogo lakini ni full mziki mnene... Ishu pia bei yake huku pia akiwa na gentleman agreement na Bayern Munich... Klopp anapambana amuwai Mikel Arteta kwa huyu dogo.

Aje January J Palhinha anatosha DM na ubingwa uhakika unatua Liverpool. Ofa ya pound 50+m itatosha japo Fulham baada ya kumnasa Fabio kwa utata kiasi hatupo vizuri sana na wale jamaa.

YNWA
 
Hope Klopp hana mpango wowote na namba yoyote isipokua DM coming winter (ATAJARIBU the right player).

Ni wazi TAA hatampeleka MF na CB amesema tayari hataenda kwa ajili hiyo january. Hoja yake ni hakuna timu itakuuzia best player wake katikati ya msimu.

Nimemuelewa kwa kiasi chake, kwan naona huyo wanayemtaka huenda anatoka timu isiyona njaa hivyo ukienda winter utabamizwa bei juu.
Klopp utadhani ana hisa FSG yaani yeye aache maneno mapema tu pale panapopwaya wapashughulikie mapema iwezekanavyo waingie sokoni kwa kutumia ma scout vizuri naamani wachezaji wa bei powa wapo.

YNWA
 
Kishingo wako Matip huenda mechi ya Fulham ikawa ya mwisho kwake pale Anfield. ACL huchukua hadi 9 months kupona. Mkataba wake unaisha summer hii sioni akiongezewa mkataba
Kwetu Mohamed Elneny alipata injury katika mazingira kama haya haya. Arsenal ikampa mkataba wa mwaka mmoja zaidi ili aendelee kupata matibabu na Arsenal na kufanya mazoezi arudi katika hali njema akiwa anatafuta timu mpya.
Nadhani inawezekana Liverpool na Matip pia kufanya hivyo
 
Klopp alivyo baba huruma,lazima aongezewe muda.

Itakuwa si uungwana kumdampo mtu wakati wa matatizo...
Kiukweli nilitamani Matip aondoke kabla ya msimu kuanza lakini kwa hili lililomkuta lazima tuonyeshe ubinadamu.
No way, lazima abaki tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp alivyo baba huruma,lazima aongezewe muda.

Itakuwa si uungwana kumdampo mtu wakati wa matatizo...
Kiukweli nilitamani Matip aondoke kabla ya msimu kuanza lakini kwa hili lililomkuta lazima tuonyeshe ubinadamu.
No way, lazima abaki tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Itapendeza sana kwa kweli. Tuombe afanyiwe mpango aongezewe mkataba.
 
Back
Top Bottom