Tumpe basi airtime halafu tuone
Mnasemaje siyo the best kwa kumlinganisha na mtu mnayempa adake kila mechi
Kaleller kacheza mechi chache sana..
Naye tumpe airtime kama anayopewa Allison,,hapo sasa mtapata uhalali wa kumrate.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ukiangalia mechi na mimi utacheka ufe
Huwa narusha miguu ,vichwa,mikono
Yaani reactions zangu huwa zinapelekea nachoka sana.
Ikifika half time huwa naenda kuoga kwa uchovu.
Hadi mechi iishe nasweat sana..chapachapa utadhani nimetoka utadhani na mimi nimetoka kusakata kambumbu.
Na salia Mungu iwe tumeshinda,,tukishindwa hapo yaani machozi yangu yapo karibu sana.
I know my weaknesses and by saying so I decided not to watch live matches...
Huwa nacheck marudio ,I don't want unnecessary pressure, nacheck mechi nikiwa na matokeo mkononi na specific time tulizofungwa au kufunga na nani kafunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli anatisha uzuri kaleta sana wachezaji wazuri
Hata wakileta 500 bado hatutakiKuna mashabiki tuchukue 200 hiyo kwa waarabu pesa nyingi tunae Elliot na Doak, Diaz & Jota can play RW too. Sasa hivi ingekuwa ni matusi kwa kina Elliot na Diaz. Plus kosa kosa za Nunez ndio kabisaaaa.
Sasa hivi hizo 200 hata hawazitaki wanataka Salah aongezewe mkataba.
No problem the difference of views and opinions, the beauty of this game.
Milner na Hendo,Ox mbeleWazungu kwenye football wanaongozwa na data. Angekuwa level za Beckor asingekuwa this long as 2nd GK kwa Alison. Last season kama sijasahau Beckor aliumia almost two months kwa ubora unaousema wewe ulitosha kuchukua namba kwa Beckor.
Ni mzuri Kelleher ila sio kwa level ya Beckor, tafadhali sana
Timu tofauti ndio inabamba sasaHaha sasa hivyo raha muwe timu moja kama hivi ok. Ukiwa tofauti ni janga.
Ukitaka kuziweza hizo emotion just jipe matarajio hafifu ya mechi, usiangalie na matarajio ya ushindi. Ingia amini lolote litatokea
Kwa uweza wa Mungu atarudi kabla ya mudaKishingo wako Matip huenda mechi ya Fulham ikawa ya mwisho kwake pale Anfield. ACL huchukua hadi 9 months kupona. Mkataba wake unaisha summer hii sioni akiongezewa mkataba
Mkuu Captain Marvelous hivi Unahisi Quansah atakuja kusparkle kama alivyotoka Trent?Mahaba ya Kelleher na Trent yanakuwekea wingu wewe sio mbele🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...
YNWA
Kishingo wako Matip huenda mechi ya Fulham ikawa ya mwisho kwake pale Anfield. ACL huchukua hadi 9 months kupona. Mkataba wake unaisha summer hii sioni akiongezewa mkataba
He'll be back🥺
Jarell Quansah mzaliwa wa Wallington yupo pale Liverpool tangu ana miaka 5 hivyo huyu ni home boy kama Trent ni pure scouser huyu.Mkuu Captain Marvelous hivi Unahisi Quansah atakuja kusparkle kama alivyotoka Trent?
Bwana Klopp kashanusa ubingwa unawezekana msimu huu hivyo ameamua atupe karata yake kwa The Beast Joao Palhinha kutoka Fulham japo umri umesogea wa dogo lakini ni full mziki mnene... Ishu pia bei yake huku pia akiwa na gentleman agreement na Bayern Munich... Klopp anapambana amuwai Mikel Arteta kwa huyu dogo.Reshuffle ya MF msimu huu umemuongezea Salah wepesi wa kukaa juu kiasi ndio maana stats zake msimu huu ni tofauti na msimu uliopita so far. Tukipata proper DM and LCB probably, we will have a balanced team to compete for tittles
Romeo yet to kick start his career. Yupo wodini.
Klopp utadhani ana hisa FSG yaani yeye aache maneno mapema tu pale panapopwaya wapashughulikie mapema iwezekanavyo waingie sokoni kwa kutumia ma scout vizuri naamani wachezaji wa bei powa wapo.Hope Klopp hana mpango wowote na namba yoyote isipokua DM coming winter (ATAJARIBU the right player).
Ni wazi TAA hatampeleka MF na CB amesema tayari hataenda kwa ajili hiyo january. Hoja yake ni hakuna timu itakuuzia best player wake katikati ya msimu.
Nimemuelewa kwa kiasi chake, kwan naona huyo wanayemtaka huenda anatoka timu isiyona njaa hivyo ukienda winter utabamizwa bei juu.
Kwetu Mohamed Elneny alipata injury katika mazingira kama haya haya. Arsenal ikampa mkataba wa mwaka mmoja zaidi ili aendelee kupata matibabu na Arsenal na kufanya mazoezi arudi katika hali njema akiwa anatafuta timu mpya.Kishingo wako Matip huenda mechi ya Fulham ikawa ya mwisho kwake pale Anfield. ACL huchukua hadi 9 months kupona. Mkataba wake unaisha summer hii sioni akiongezewa mkataba
Klopp alivyo baba huruma,lazima aongezewe muda.Kwetu Mohamed Elneny alipata injury katika mazingira kama haya haya. Arsenal ikampa mkataba wa mwaka mmoja zaidi ili aendelee kupata matibabu na Arsenal na kufanya mazoezi arudi katika hali njema akiwa anatafuta timu mpya.
Nadhani inawezekana Liverpool na Matip pia kufanya hivyo
Itapendeza sana kwa kweli. Tuombe afanyiwe mpango aongezewe mkataba.Klopp alivyo baba huruma,lazima aongezewe muda.
Itakuwa si uungwana kumdampo mtu wakati wa matatizo...
Kiukweli nilitamani Matip aondoke kabla ya msimu kuanza lakini kwa hili lililomkuta lazima tuonyeshe ubinadamu.
No way, lazima abaki tena.
Sent using Jamii Forums mobile app