Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sisi hatumpimi Nunez kwa kumuangalia Haaland anavyokosaView attachment 2843693
Ikiwa wewe ni mtu wa mpira utakuwa umeelewa jambo hapa..!!! Ni vile tu mmeamua kuuchagua upande.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namtafuta jasusi Eric Ten Hag hajaonekana unyumbuni Simu ya 3 leo
Tunashindaje moja?Derby ni derby tuu, wachezaji, kocha, wasiingie na akili za kuona wataifunga tuu United kirahisi au kutaka kuidhalilisha, muhimu ni 3 points
Binafsi hata tukishinda 1-0 , ill take it
SawasawaKesho hiyo Anfieled pale. Liverpool 0 Manchester United 3.
Niache Bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miss Liverpool haha atakua ana makengeza amekula sana ndizi na wali huko Qyela.
YNWA
Tetesi zinasema Eric Ten Hag anataka kufanya come back kwa Liverpool[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani walishasafirisha msiba wa UEFA
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo paleee [emoji117]Tetesi zinasema Eric Ten Hag anataka kufanya come back kwa Liverpool
Klopp keshawafukuzisha Makocha kadhaa pale
Natamani tuwatoboetoboe hadi wasiamke on monday
Piga hadi ten hag anakua ten hogs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miss Liverpool haha atakua ana makengeza amekula sana ndizi na wali huko Qyela.
YNWA
Sasa hapo nunez chance missed 15 goals 4
Halaand 17 goals 10
Derby ni derby tuu, wachezaji, kocha, wasiingie na akili za kuona wataifunga tuu United kirahisi au kutaka kuidhalilisha, muhimu ni 3 points
Binafsi hata tukishinda 1-0 , ill take it
Msimamo wangu ni uleule
Kalleher ni golikipa bora kama Allison tu.
Hayo magoli kwani Allison yeye huwa hafungwi?
Mbona mara nyingi tu tumefungwa na golini yupo Allison
Soon lini hiyo?
Msimu wa pili unachanja mbuga
Jamaa linakosa tu
Mmh aisee
Punguzeni Siri[emoji23]
Yawezekana kweli maana mm naonana na watu kupitia vijibiashara vyangu uchwara humu,wao tayari wananijua,Mimi siwajui.
Mwakani tukinyanyua kwapa tukutane kula nyama choma
Afisa Mkuu wa masomo ni Captain Marvelous
Naye alisema tuchukue mpunga
Akatuletea hadi mbadala wa Salah ,eti Nunez yupo[emoji23]
Sisi hatumpimi Nunez kwa kumuangalia Haaland anavyokosa
Apambane tu na hali yake,asisingizie Haaland kukosa.
Tunachojua sisi ni anakosa magoliNdio kipimo hicho cha Nunez since anakuja LFC
HaondokiTungekuwa kama United huko kama sio Chelsea
Nunez Gakpo na Diaz wote wana goli tisa kwenye 44 appearance.
Diaz mara ya mwisho alifunga 5th November
Nunez mara ya mwisho alifunga 29th October
Gakpo mara ya mwisho alifunga 30th September
Hii ni hatari hapo January Salah akiondoka