[emoji419]said it.....we lost two easy pointstunatakiwa tuwe makini Sana mechi ya kesho tusiingie tukiwa overconfident maana Kuna kombe la Ligi tulishapoteza kwa kudraw na Man u wakti wakiwa wako hoi na sisi tulikuwa vizuri Sana(ilikuwa OT)
Game ya arsenal nayo tunatakiwa tuwe makini kupitiliza tukishinda hiyo the future is Bright....Mungu atatupitisha January salama kama tukisajili
Siku si nyingi naanza kuwa against na NUNEZ
Ova
😂😂😂😂Yaani hakuna mechi niliyoingoja kwa hamu kama ya leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona masaa hayafiki
Nunez
Salah
Diaz
Gakpo
Trent
Tafadhalini,
Nipo chini ya miguu yenu
Nahitaji goli mbili mbili kwa kila mmoja
YNWA[emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo sijui alikula nini aisee sijaamini.Dominic szoboszlai sijui kimemkuta nn [emoji24][emoji24][emoji24]
Yani leo tumekuwa Tembo tumedondoka kutoka kwenye Mti
Tulimuonya humu kuwa Derby ni derby tuuSaint Anne kuanzia leo act kama mwanaliverpool kuwa mpira sio kuzurura kwenye Majukwaa ya wengine na maneno mengi
Ulivyokuwa full mziki ulikula 7 shukuru una majeruhamna timu hapa bahati yenu kikosi kama kizima majeruhi mmecheza na watoto leo.
nunez[emoji1787][emoji1787]View attachment 2845393
Ngoja aje Mosdef na utetezi wake uliotukuka kwa huyu NunezMimi nikimkataa Mchezaji lazima kuna kitu huwa nimeona
Tafuteni kipa ndio, yule ameikamia Liverpool tu subirin game zijazo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] . Jamaa anafungwa goli za hovyo tu [emoji1787][emoji1787]Eti Tafuteni kipa wa kueleweka- IamMrLiverpool