Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tunatakiwa tuwe makini Sana mechi ya kesho tusiingie tukiwa overconfident maana Kuna kombe la Ligi tulishapoteza kwa kudraw na Man u wakti wakiwa wako hoi na sisi tulikuwa vizuri Sana(ilikuwa OT)

Game ya arsenal nayo tunatakiwa tuwe makini kupitiliza tukishinda hiyo the future is Bright....Mungu atatupitisha January salama kama tukisajili
[emoji419]said it.....we lost two easy points

hiyo ya arsenal nayo ni a must win game maana unai naye hana urafiki na sisi kabisa maadui wanakuwa wengi tu

-Mwanangu szobo sijui wamempiga misumari aisee[emoji18]
 
Dominic szoboszlai sijui kimemkuta nn [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Yani leo tumekuwa Tembo tumedondoka kutoka kwenye Mti
20231212_150016.jpg
 
Kwahyo Klopp akaona Replacement ya Bobby ni Nunez [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom