Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaaaa

Au trench bursts the hog

Anyways…. Asses wanakuja anfield, tutawapaka lotion
 
Mi mwenyewe sikuangalia


Nilivyoona tu manyumbu yameanza kunipigia simu na kunitumia message nikajua tu kimenuka🤣
Wewe utakuwa muoga wa kuangalia mechi ama majukumu mengi. Derby kama hii tena jumapili, hakuna cha kujiandaa kwa harusi ya rafiki, unaikosaje?
 
Ukiona mchezaji anasifiwa movement zake sijui mikimbio, kuliko anavyolicheza soka ujue hakuna mchezaji hapo.

Mchezaji kazi yake kucheza mpira sio movement. Kubalini Nyunyezi pale mmepigwa.

Movement hata miti inafanya.

Yani unatufundisha tukubali kuwa Nyunyez tumepigwa kama vile huoni tunavyomlalamikia au?
 
Mpira ni burudani, hiyo burudani hatuipati Liverpool pekeyake
Huko nitaenda tu maana huko pia wanacheza mpira mzuri na ni wapinzani wetu
But uwe realistic basi jitofautishe na kina Ollachuga na Allypipi.

Kuanzia mwaka 2018 kushuka chini Liverpool tulikuwa tunajuilikana kuwa ni Watu ambao kwenye Nyuzi yetu tupo very serious mpaka wapinzani wakahisi humu tupo Wazee Watupu (kulingana na historia yetu).

Yani ilikuwa huwezi kukuta Mshabiki wa Liverpool kuandika posts za kiajabuajabu.

Michango yetu ilikuwa inaheshimika, lakini sasahivi michango yetu kama ya Ollachuga tu kwasababu ya mizaha mengi.
 

Yani wewe umekusudia Manure washuke Daraja kabisa ndiyomana hutaki ETH afukuzwe.
 
Cha kushukuru gap dhidi ya City bado ni lile lile, sema shida tunadroo na Arsenal, City akishinda anapunguza gap kwa wote, akianza mambo yake ya wins 14 mfululizo ndio tatizo hilo
 
Duuh umemaliza King na ujumbe huu tumeupata.

We need to go back to the roots of who we are as Liverpool.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…