Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi nikimkataa Mchezaji lazima kuna kitu huwa nimeona

Ngwaba, kitu gani umekiona kwa Nunez? ambacho hujakiona kwa Diaz & Gakpo? au hao wawili hawafai kuwa scapegoats?

Ok, naonekana namtetea sana Nunez, so excuses za Gakpo & Diaz ni zipi?

na zaidi, for the past 4-5 games, excuse ipi tunayo kwa Salah?

You see, mimi naweza kutoka valid excuses kuhusu Diaz, Gakpo na Salah, but siwezi kutoa kwa Nunez, because nitaonekana nipo bias, ambayo ni stupid gesture.

Are Diaz & Gakpo performances msimu huu ni any better than Nunez? nani atleast amechangia kiasi kikubwa kwenye out attack & goals, kati ya Nunez, Diaz & Gakpo?

Ok, excuse moja ya Gakpo, he got injured na anaanzia sana bench, so what about Diaz?

And, Salah kama senior attacker, ame-offer nini for the past 4-5 games? games zaidi ya nne tumekuwa bailed out na our MFs and Trent, Salah alikuwa wapi? and nina excuse nyingi sana kuhusu drop ya performance ya Salah (nyingi sana), but sitakiwi kuwa na ya Nunez?

Nunez, amekuwa scapegoat, its fine, but apart from Salah deflected goal against Palace, attacker gani ame-step up games nne-tano zilizopita?(since tuna count goals tu)
 
Abaki huko au asibaki haibadilishi nilichokisema kuwa Watkins ni bonge la striker...Hayo mengine sijui MPO njema au HAMPO ni yako...my statement was just simple...Watkins ni bonge moja la striker

Bonge la Striker ambaye at 24 bado alikuwa in Championship.

Bonge la Striker ambaye at 28 na misimu MI-NNE kwenye PL, hana goals zaidi ya 15.

Well, it looks like anaenda ku-ipita record yake ya 15 goals (22/23 season) msimu huu, but he will be 29 next year, wakati anaipita hiyo record.

Market ya Striker, au mpira as a whole utakuwa umeshuka sana, kama a midtable striker mwenye numbers za Ollie, anakuwa termed, kama "Bonge la Striker".

.... But what can you expect from a Bozo.
 
Liverpool against top six clubs this season so far
Draw= 3
Loose =1
Win = 0
Kuna shida msimu huu tukicheza na timu za top 6, japo wengi tutajificha kwa Nunez ila Kuna kitu cha kurekebisha as a team

Drew with City at ETIHAD, thats a big bonus.

Drew with Chelsea at SB, thats a big bonus.

We got robbed against Spurs.

Yes, i expected us kuwafunga United kutokana na form yao recently, and a draw feels like a loss, because we were at HOME.

But utakuwa mlalamishi tu, kama uta-question draws za Etihad & SB, hizo ni big results, BIG RESULTS.

We needed to win against United, but drawing against City & Chelsea away from Anfield, ni BIG BONUS, and you should be happy for that, kama unatambua football mathematics.
 
When was the last time, our £50m LW and Mane replacement, beat a man or attempt a sucessful dribble?

He has scored 3 goals in 16 appearances so far this season, but he cant be called out, because his father got kidnapped.

Kipi anacho-offer Diaz? tofauti yake na Nunez ni ipi? they are both struggling to score goals, they are both struggling to impact games, but nani ana assist nyingi kuliko mwenzake? nani ametengeneza magoli mengi kuliko mwenzake? why is Diaz getting a free pass?

Or its just fashionable kum-troll Nunez, because ndiyo wave ya sasa?

Statically, Diaz is our worst attacker msimu huu, but lets get on Nunez, because its fashionable.
 
And, i am not saying Nunez has been good, 10 games without scoring is a concern, especially for a ST.

But, all am saying is we need to be consistent, na kuacha unafiki.
 
A CURIOUS CASE OF DOMINIK.

We all wanted Jude in the summer, but umeshawahi ku-wonder kuwa angekuwa ana record same numbers kama za madrid? at Liverpool? chini ya Klopp and Lijnders?

Well, we got Dominik, ambaye ana same traits za Jude, tena naweza kusema Dom, anamu-edge Jude, bacause anakupa advantage kwenye off-ball movements.

Mwanzo, wa msimu, Dom was at his best form, yes, he was limited to an extent, but bado alikuwa anapata ile "leseni" ya ku-roam kwenye good attacking areas, hence he was able to open/create good amount of chances from his pocket/stimulant-area.

But siku zilivyokuwa zinazidi kwenda, our Coach started to develop new ideas, (tunatakiwa kuacha kumlaumu Lijnders now). hii new ideas ya kumpa Trent free room ya ku-invert, sometimes ku-sit at 6, ime-affect kwa ukubwa sana game ya Dom, mfano tu mdogo, jana against Utd, kazi yake ilikuwa ni kufanya dirty works upande wa kulia, ili kulinda lapses za "mfalme", akiwa ana-invert au moving the ball high up the pitch, ni kama utoe hii role kwa KDB, City CB/RB anapokuwa ana invert, its actually nonsense.

Tunarudi kule kule, limiting Gini's game ili kumu-accomodate Henderson, now unaanza ku-limit game ya one of the most gifted and talented footballers kwasababu ya Trent, ok, Trent ku-invert na kuwa (to an extent), kumesaidia sana ku-impact games, but what about Dom's career? are we going to ruin another big talent?

Apart from his injuries, wote tulimuona Keita wa Leipzig, after 6 months at LFC, keita alikuwa hataki/hawezi hata kufanya simple dribbles & ball carrying/take-on players etc, ambayo ndiyo ilikuwa big part ya his game, was limited na kuwa recycler tu.

Powerful traits zote za Dom hazionekani now, mwanzoni ilikuwa fine, we dont have a specialist solid DM, so it was only right kwa Dom ku-drop deep and create a diversion pivot na Macca, ili kulinda na kupunguza transitional movements za opponents, but now amekuwa side-kick wa Trent, and its bad, because he can offer us a lot kama tukimuacha acheze game yake, ndiyo huwa nawaza ingekuwaje kwa Jude? Dom game ni kama ya SG au KDB, he thrives kwenye big operating spaces, he thrives as a free 8/10, why are we limiting his game? why tunataka kuua his career? because of what? accomidating a right back?

Utd settled with a deep block, so you need players ambao ni good on and off the ball around the box, ili ku-open up hiyo deep/mid block, but instead unamchezeha Dom chini kabisa, ili Trent awe free ku-unlock deep block, you dont unlock deep blocks with long/diagonals passes, you unlock deep block kwa short & quick passes around the opponent box, succession ya pass and ability ya ku-hold mipira around the box (consistently), ndiyo inakupa room ya ku-open up a deep block, and you have Dom & Harvey (Thiago not fit) who are so good at that, why cant you just use them? tulimnunua Dom wa nini sasa? kama hafanyi kazi tuliyotazamia atafanya?

Gakpo ni LW/9, but most of the times anachezeshwa kama advanced 8/SS, tulinunua hawa wachezaji wa nini?
 
Sell Salah in the summer (£100-120m) will do.

Sell Diaz in the summer (£35-40m) will do.

Invest that money on new 2 starting attackers (RW & ST), and find a raw/cheap LW.

Then, use orginal budget ya usajili, kununua a valuable Defensive MF and a CB.
 
Yes Watkins ni 29 next year....

Yes Watkins anatokea mid table team...hata Mane,VVD etc walitokea huko

At 24 alikuwa championship,haifuti fact kwamba tangu msimu uliopita ana numbers nzuri kuliko Nunez...

15 goals plus 6 assists are better numbers than 9 goals plus 3 assists kwa msimu uliopita.

So far this season ana goli 9 assists 6 wakati Nunez ana goals 4 assists 5....

Kama mtu mwenye numbers za Nunez anaonekana bonge la striker kuna dhamni gani kwa mtu huru mwingime kumuona Watkins ni bonge la striker kwa namba ambazo amemzidi bonge la striker Nunez?

Nunez ni famba
 
Klopp contract ends in 2026.

Dont give him another contract UNLESS kuwe na a Commanding Sports Director.

If Arteta wins the Premier League, then Klopp's time at LFC will be a failure, na itaendelea kuwa hivyo, because he's refusing to evolve with the times.

Failing to beat this United side at HOME is unacceptable, hakuna excuse yeyote.

And, its time we start to look at the manager.

Team ambayo ilianza against United, ni identical na ile iliyoanza at Crystal Palace (bar Konate nadhani), and we struggled a lot, red card ya Ayew ndiyo ilituokoa, but fast forward, Klopp starts the same team, against United, bila tactical/shape tweaks, yaani nothing.

Diaz-Nunez combo is NOT working, Nunez works better with Jota, Diaz works better with Gakpo, why cant you just tweak your front 3? Diaz-Nunez-Salah front 3, haijawahi ku-produce chochote cha maana, sawa Jota is injured, why cant you just try Gakpo? maybe Gakpo-Diaz-Salah AU Nunez-Gakpo-Salah AU ditch kabisa 433? kama haifanyi kazi? why cant we evolve?

Then, why bado tunaendelea na mtindo wa ku-deploy a lone DM? kocha gani kwenye top clubs around europe anafanya hivyo? why ni sisi tu hatutaki kubadilika na time?
 
Hii ya kubadili nafasi za wachezaji inatokea Liverpool ya klopp mostly, Darwin Nunez(centre forward) mara acheze Lw mara right wing akicheza kati analazimishwa kuwa firmino acreate nafasi kwa wengine you ask yourself why? Put a 9 in his position, put a rb in his position and let us judge them in their positions. Kulikua na haja gani kuspend 60+ ml pounds kwa mchezaji ambaye itabidi abadilishe namba abadilishiwe roles (probation period ya misimu 2-3) wenzako ananunuliwa mchezaji anaingia pale panapomfaa ref Declan rice, hojlund, Jude, haaland, doku etc, gakpo Holland league alikua na 10+ assists 10+goals akiwa anacheza Lw ama few times as 9 lakini kaja liver until now haeleweki kama Kuna brightness in his future(klopp failure), Nunez benfica last season 28 goals but now the boy is struggling to shoot miguu imepata kigugumizi haelewi afanye Nini afunge ama acreate chance akija kushituka kashachelewa
 

Nani amesema Nunez ni bonge la ST?

If anything, huwa nasema bado ni raw, na ni raw because projection yake imechelewa, ameingia Europe kupitia La Liga 2 (Almeria), na after one season aliondoka akiwa na good record, 16 goals in 30 appearances, not bad for a 19-20 years old ST.

At Benfica, he started with 6 goals (2020/21), then msimu wa 2021/22, ali-record 26 goals kwenye league, and 6 goals in 10 appearances kwenye Champions League, tena at 22.

Huyo "bonge la Striker", bado hana tally ya 26 goals kwenye "League" campaigns, and at 28 bado hajawahi ku-sniff au night moja ya Champions league, and why? bacause hakuna CL club yeyote iliyo-bother kuhangaika nae.

And, projections ya Ollie, at Villa haina tofauti sana na Nunez, Ollie started with 14 goals, Nunez started with 9 goals.

In his second, season Ollie ended the season with 11 goals, Nunez is currently on 4 goals, and its december, unless apate injuries, he will end the season with more than 10 goals (as per projections).

NOW, "Bonge la Striker" blew up on his 3rd season, scoring 15 goals, and what, he was 27? Ollie was born on 30/12/1995, so i dont buy the age-mathematic, and after last season, anaendelea ku-punch above his weight.

And, its funny, because cases kama za kina Ollie, Toney, Vardy etc, ndiyo zinafanya kila siku nimetetee huyo Nunez, kuna players ambao ni late bloomers na wanachelewa kupata nafasi ya ku-showcase their talents, i'm 100% sure ulikuwa hujui who Ollie was wakati yupo Brentford (championship), na I'm sure umeanza kum-term kuwa ni "bonge la ST" baada ya kuona his form msimu huu.

Well, Nunez ana potential kubwa kuliko huyo "bonge la Striker", because ame-prove kwenye top league, na kwenye CL club, na kwenye Champions league, na kama huyo Ollie mmeanza kum-recognize now at 28, ndiyo itakuwa the same kwa Nunez, bacause kama ilivyokuwa kwa Ollie, Nunez naye bado ana room ya ku-improve.


Difference is, Nunez is carrying mzigo wa expectations bacause yupo kwenye top 5 biggest club in the world, and Ollie yupo at the club ambayo mara ya mwisho kushinda a reputable trophy ilikuwa ni 1982 and pia club that thought Mbwana Samatta was good enough for them.

So, nobody cares kuhusu his projections, he's an average ST ambaye ni amepata mazingira mazuri ya kukua na ku-develop his game.
 

Haya mambo ukiongea unaonekana upo against Klopp, na humtakii mema Klopp.
 
Sawa
 
Kwa trend hii hakuna dm anayemfaa klopp kwa Sasa sokoni and let's admit our season is over, ubingwa haupo labda top four, why? Come January tw tutampata dm atakuja ataambiwa inabidi aingie kwenye mfumo polepole tukijashtuka may hii hapa mid ni Endo, macca, and inverted Taa. At the end world class player and promising youngster will start ditching us coz itawachukua muda kuuelewa mfumo wa kocha unakuja kama established rcm unaambiwa uadopt ldm, Also klopp haamini/hatoi nafasi kwa vijana kakaa liver for good seven years ukimtoa TAA hakuna dogo aliyetoboa akapiga game 20+ per season, hii inatutoa kwenye uwezo wa kuatrract promising talents, ref van de ven, ki-jana hoever, Fabio, and others, look to pep kawapa nafasi Rico lewis cole palmer Phil foden and some others but why not us?
 

Bado nafasi tunayo kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…