Yes Watkins ni 29 next year....
Yes Watkins anatokea mid table team...hata Mane,VVD etc walitokea huko
At 24 alikuwa championship,haifuti fact kwamba tangu msimu uliopita ana numbers nzuri kuliko Nunez...
15 goals plus 6 assists are better numbers than 4 goals plus 5 assists kwa msimu uliopita.
So far this season ana goli 9 assists 6 wakati Nunez ana goals 4 assists 5....
Kama mtu mwenye numbers za Nunez anaonekana bonge la striker kuna dhamni gani kwa mtu huru mwingime kumuona Watkins ni bonge la striker kwa namba ambazo amemzidi bonge la striker Nunez?
Nunez ni famba
Nani amesema Nunez ni bonge la ST?
If anything, huwa nasema bado ni raw, na ni raw because projection yake imechelewa, ameingia Europe kupitia La Liga 2 (Almeria), na after one season aliondoka akiwa na good record, 16 goals in 30 appearances, not bad for a 19-20 years old ST.
At Benfica, he started with 6 goals (2020/21), then msimu wa 2021/22, ali-record 26 goals kwenye league, and 6 goals in 10 appearances kwenye Champions League, tena at 22.
Huyo "bonge la Striker", bado hana tally ya 26 goals kwenye "League" campaigns, and at 28 bado hajawahi ku-sniff au night moja ya Champions league, and why? bacause hakuna CL club yeyote iliyo-bother kuhangaika nae.
And, projections ya Ollie, at Villa haina tofauti sana na Nunez, Ollie started with 14 goals, Nunez started with 9 goals.
In his second, season Ollie ended the season with 11 goals, Nunez is currently on 4 goals, and its december, unless apate injuries, he will end the season with more than 10 goals (as per projections).
NOW, "Bonge la Striker" blew up on his 3rd season, scoring 15 goals, and what, he was 27? Ollie was born on 30/12/1995, so i dont buy the age-mathematic, and after last season, anaendelea ku-punch above his weight.
And, its funny, because cases kama za kina Ollie, Toney, Vardy etc, ndiyo zinafanya kila siku nimetetee huyo Nunez, kuna players ambao ni late bloomers na wanachelewa kupata nafasi ya ku-showcase their talents, i'm 100% sure ulikuwa hujui who Ollie was wakati yupo Brentford (championship), na I'm sure umeanza kum-term kuwa ni "bonge la ST" baada ya kuona his form msimu huu.
Well, Nunez ana potential kubwa kuliko huyo "bonge la Striker", because ame-prove kwenye top league, na kwenye CL club, na kwenye Champions league, na kama huyo Ollie mmeanza kum-recognize now at 28, ndiyo itakuwa the same kwa Nunez, bacause kama ilivyokuwa kwa Ollie, Nunez naye bado ana room ya ku-improve.
Difference is, Nunez is carrying mzigo wa expectations bacause yupo kwenye top 5 biggest club in the world, and Ollie yupo at the club ambayo mara ya mwisho kushinda a reputable trophy ilikuwa ni 1982 and pia club that thought Mbwana Samatta was good enough for them.
So, nobody cares kuhusu his projections, he's an average ST ambaye ni amepata mazingira mazuri ya kukua na ku-develop his game.