King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Duuh umemaliza King na ujumbe huu tumeupata.
We need to go back to the roots of who we are as Liverpool.
YNWA
Jana hakukua na direct mistake ya Nunez,
Thanks reminding us the real Liverpool Thread content zilikua namna gani.Sasa hivi watu wamepoteza contents kabisa
I think jana was just those days... Sikucheki mechi will check replay leo.So, why is he getting scapegoated?
Jana ilikua ni marudio tuu ya ile sare ya 0 0 2019 pia na united mbovuKlopp contract ends in 2026.
Dont give him another contract UNLESS kuwe na a Commanding Sports Director.
If Arteta wins the Premier League, then Klopp's time at LFC will be a failure, na itaendelea kuwa hivyo, because he's refusing to evolve with the times.
Failing to beat this United side at HOME is unacceptable, hakuna excuse yeyote.
And, its time we start to look at the manager.
Team ambayo ilianza against United, ni identical na ile iliyoanza at Crystal Palace (bar Konate nadhani), and we struggled a lot, red card ya Ayew ndiyo ilituokoa, but fast forward, Klopp starts the same team, against United, bila tactical/shape tweaks, yaani nothing.
Diaz-Nunez combo is NOT working, Nunez works better with Jota, Diaz works better with Gakpo, why cant you just tweak your front 3? Diaz-Nunez-Salah front 3, haijawahi ku-produce chochote cha maana, sawa Jota is injured, why cant you just try Gakpo? maybe Gakpo-Diaz-Salah AU Nunez-Gakpo-Salah AU ditch kabisa 433? kama haifanyi kazi? why cant we evolve?
Then, why bado tunaendelea na mtindo wa ku-deploy a lone DM? kocha gani kwenye top clubs around europe anafanya hivyo? why ni sisi tu hatutaki kubadilika na time?
He is 85m striker, hatuwezi mfanya scape goat Diaz bila kumuanza Nunez, ni dhambi CF mechi 10 bila goalsSo, why is he getting scapegoated?
Jana nilichoka sana aiseeWewe utakuwa muoga wa kuangalia mechi ama majukumu mengi. Derby kama hii tena jumapili, hakuna cha kujiandaa kwa harusi ya rafiki, unaikosaje?
He is 85m striker, hatuwezi mfanya scape goat Diaz bila kumuanza Nunez, ni dhambi CF mechi 10 bila goals
Sawa Mkuu.But uwe realistic basi jitofautishe na kina Ollachuga na Allypipi.
Kuanzia mwaka 2018 kushuka chini Liverpool tulikuwa tunajuilikana kuwa ni Watu ambao kwenye Nyuzi yetu tupo very serious mpaka wapinzani wakahisi humu tupo Wazee Watupu (kulingana na historia yetu).
Yani ilikuwa huwezi kukuta Mshabiki wa Liverpool kuandika posts za kiajabuajabu.
Michango yetu ilikuwa inaheshimika, lakini sasahivi michango yetu kama ya Ollachuga tu kwasababu ya mizaha mengi.
😂😂😂😂Ww sio muangaliaji mpira tunajua ww ni kucheki live score halafu unakuja kupiga kelele
Kweli Mkuu.Liverpool against top six clubs this season so far
Draw= 3
Loose =1
Win = 0
Kuna shida msimu huu tukicheza na timu za top 6, japo wengi tutajificha kwa Nunez ila Kuna kitu cha kurekebisha as a team
Mkuu, hii United team iliyokuja Anfield, ni way worse kuliko zote tulizocheza nazo recently, kuanzia kwa Keeper, backline, MF na forward line.Jana ilikua ni marudio tuu ya ile sare ya 0 0 2019 pia na united mbovu
Maranyingi tunaifunga United mbovu when we have nothing to lose
Tukiwa tunakitu cha kupoteza hata united iwe mbovu vipi hatuifungi
Ndio maana wale waliodhani tutaifunga united sijui 4, 5 niliwapa tahadhari na kusema hata 1-0 tunatakiwa tuifurahie kweli, sasa ikawa kabisa 0 0, mimi nahisi kuna tatizo la mentallity
Pole. Umeme wetu unasumbua sanaJana nilichoka sana aisee
Mambo yalikuwa mengi mno, halafu pia umeme ukakatika
Nikajikuta nalala mapema.
Nimeangalia marudio.
I think jana was just those days... Sikucheki mechi will check replay leo.
YNWA
Tuendelee Kum sapoti siku mbaya kazini huwepo tu.Ukiona mchezaji anasifiwa movement zake sijui mikimbio, kuliko anavyolicheza soka ujue hakuna mchezaji hapo.
Mchezaji kazi yake kucheza mpira sio movement. Kubalini Nyunyezi pale mmepigwa.
Movement hata miti inafanya.
Huu msimu ni kama ule wa 18/19 ila tofauti now tunastruggle kwa big teams kipindi kile kina west ham ndio walikua wanatupa sare Hadi kukosa ubingwa kwa 1 pointKweli Mkuu.
Si ajabu hata Nunez asingekuwepo bado tungepata matokeo yaleyale.
Acha tuPole. Umeme wetu unasumbua sana
Ulikuwa umeweka magoli 10. Hayo matano umeyatamka leo baada ya kukosa.Acha tu
Mida kama hii ulikuwa umeshakatika, na haukurudi.
Simu za kuangalizia mechi hazina chaji, nilishinda church hivyo sikuzichaji.
Kibanda umiza huwa siendi.
Lakini yote kwa yote ni heri sikuangalia tu
Nilikuwa nishajiwekea imani goli Tano, ila hapa naona pira papatu papatu tulilocheza🥲