Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp contract ends in 2026.

Dont give him another contract UNLESS kuwe na a Commanding Sports Director.

If Arteta wins the Premier League, then Klopp's time at LFC will be a failure, na itaendelea kuwa hivyo, because he's refusing to evolve with the times.

Failing to beat this United side at HOME is unacceptable, hakuna excuse yeyote.

And, its time we start to look at the manager.

Team ambayo ilianza against United, ni identical na ile iliyoanza at Crystal Palace (bar Konate nadhani), and we struggled a lot, red card ya Ayew ndiyo ilituokoa, but fast forward, Klopp starts the same team, against United, bila tactical/shape tweaks, yaani nothing.

Diaz-Nunez combo is NOT working, Nunez works better with Jota, Diaz works better with Gakpo, why cant you just tweak your front 3? Diaz-Nunez-Salah front 3, haijawahi ku-produce chochote cha maana, sawa Jota is injured, why cant you just try Gakpo? maybe Gakpo-Diaz-Salah AU Nunez-Gakpo-Salah AU ditch kabisa 433? kama haifanyi kazi? why cant we evolve?

Then, why bado tunaendelea na mtindo wa ku-deploy a lone DM? kocha gani kwenye top clubs around europe anafanya hivyo? why ni sisi tu hatutaki kubadilika na time?
Jana ilikua ni marudio tuu ya ile sare ya 0 0 2019 pia na united mbovu

Maranyingi tunaifunga United mbovu when we have nothing to lose

Tukiwa tunakitu cha kupoteza hata united iwe mbovu vipi hatuifungi

Ndio maana wale waliodhani tutaifunga united sijui 4, 5 niliwapa tahadhari na kusema hata 1-0 tunatakiwa tuifurahie kweli, sasa ikawa kabisa 0 0, mimi nahisi kuna tatizo la mentallity
 
Wewe utakuwa muoga wa kuangalia mechi ama majukumu mengi. Derby kama hii tena jumapili, hakuna cha kujiandaa kwa harusi ya rafiki, unaikosaje?
Jana nilichoka sana aisee
Mambo yalikuwa mengi mno, halafu pia umeme ukakatika
Nikajikuta nalala mapema.

Nimeangalia marudio.
 
He is 85m striker, hatuwezi mfanya scape goat Diaz bila kumuanza Nunez, ni dhambi CF mechi 10 bila goals

We bought Nunez for £64m, hiyo £85m, ina include add-ons ambazo ni LAZIMA kufikuwa ili ku-raise katika hicho kiasi, tena baadhi ya add-ons, zinakuwa na time-frame, (especially, appearances).

Anyways, so as long as Nunez ana struggle, its ok kwa Diaz or even Gakpo ku-struggle, because they were slightly cheaper? come on.
 
But uwe realistic basi jitofautishe na kina Ollachuga na Allypipi.

Kuanzia mwaka 2018 kushuka chini Liverpool tulikuwa tunajuilikana kuwa ni Watu ambao kwenye Nyuzi yetu tupo very serious mpaka wapinzani wakahisi humu tupo Wazee Watupu (kulingana na historia yetu).

Yani ilikuwa huwezi kukuta Mshabiki wa Liverpool kuandika posts za kiajabuajabu.

Michango yetu ilikuwa inaheshimika, lakini sasahivi michango yetu kama ya Ollachuga tu kwasababu ya mizaha mengi.
Sawa Mkuu.

OllaChuga Oc , allypipi muache kunifundisha utukutu😂😂
 
Liverpool against top six clubs this season so far
Draw= 3
Loose =1
Win = 0
Kuna shida msimu huu tukicheza na timu za top 6, japo wengi tutajificha kwa Nunez ila Kuna kitu cha kurekebisha as a team
Kweli Mkuu.
Si ajabu hata Nunez asingekuwepo bado tungepata matokeo yaleyale.
 
Jana ilikua ni marudio tuu ya ile sare ya 0 0 2019 pia na united mbovu

Maranyingi tunaifunga United mbovu when we have nothing to lose

Tukiwa tunakitu cha kupoteza hata united iwe mbovu vipi hatuifungi

Ndio maana wale waliodhani tutaifunga united sijui 4, 5 niliwapa tahadhari na kusema hata 1-0 tunatakiwa tuifurahie kweli, sasa ikawa kabisa 0 0, mimi nahisi kuna tatizo la mentallity
Mkuu, hii United team iliyokuja Anfield, ni way worse kuliko zote tulizocheza nazo recently, kuanzia kwa Keeper, backline, MF na forward line.

Aibu kwa Klopp, his technical bench & players.
 
I think jana was just those days... Sikucheki mechi will check replay leo.

YNWA

Watch it Mkuu.

It wasnt one of those days.

Ni kuwa our lucky just went out, performances mbovu kama za Sheffield na Crystal Palace, zilikuwa masked na late goals, but hiyo nafasi haikupatikana, tena against the weakest Utd team in years.

Dire and unnceptable display, at HOME. and it was on Klopp, and Klopp alone.
 
Ukiona mchezaji anasifiwa movement zake sijui mikimbio, kuliko anavyolicheza soka ujue hakuna mchezaji hapo.

Mchezaji kazi yake kucheza mpira sio movement. Kubalini Nyunyezi pale mmepigwa.

Movement hata miti inafanya.
Tuendelee Kum sapoti siku mbaya kazini huwepo tu.
IMG-20231218-WA0019.jpg
 
Assessment ya Klopp baada ya mchezo dhidi ya Man U

Let me say, besides the result, I have a lot of positives about this game. You could say the decisive part, the scoring part, obviously was not there today. Maybe one or two were a bit unlucky and in other moments not calm enough, a bit too much in a rush. But the start in the game was the best we had this season, the counter-pressing was the best we had this season, the intensity was outstanding and the amount of finishes is outstanding. But when you have this amount of finishes, you should have a few more on target – that's another point which was obviously not great. And the goal, if we would have scored it whenever, it would have changed everything because they were obviously not here to lose somehow and they really wanted the result. They fought hard for it and credit to them.
So we just had to keep going and try pretty much everything. We changed system, brought [on] fresh players and everything could have worked out if we just make this one better decision. We were really unlucky with the Trent finish, I would say. I think Onana didn't even react on that because it just didn't make any sense because if the ball rolls in, it's in – but it rolls on the wrong side of the post. Ibou, if he is more often in these situations, I think he could've scored there. And other situations when we finished, when we took the shot. I have to watch it back because in the moment my feeling was we have to take the overlap – you use the overlap or we have to use a player who would have probably been free in the centre.
Because the way United defended was with a lot of passion. The way we played disorganised them quite frequently but, in the end, we didn't see that because then they were deep in the box and then they just throw themselves into the balls and the shots. If a team defends like that, there's always a free player because rather two than one wants to block the ball, so it means somebody else is probably free. We didn't see that and that's why we drew the game.
On Dominik Szoboszlai...
Might have had two or three games ago where there was a slight development from the first impression he made obviously. It was always clear that things will not go like this – he's still a very young boy. But he was exceptional today in a lot of situations in the game. But then we lost a couple of balls and it had nothing to do with the substitution or whatever, it's just you have options to do it and we wanted to change system and then you have to think. We wanted to have Joey then higher, put him proper on the wing – same for Kosti – so you need players in these half-spaces and it was then Cody right, Lucho left and Mo putting in the centre, and then we changed again with Harvey on 10.
That's the thing, it's just we play a team that play man-marking, so each little tweak can make a massive difference if we use it. And actually, we were there, we had these moments when we passed the ball to the outside, if we then find the overlap – the overlaps were there in moments – and we then shoot the ball to the outside of the net instead of letting them make a mistake. If you bring that ball in the six-yard box, it's super-difficult to defend because there are a lot of legs and it can be a Man United leg who brings the ball over the line. These were the moments where we were not really there and that was the problem.
I said, if we score an early goal, it would have been great, it would have changed everything. We were ready to use that but we didn't and then it becomes more and more intense. It was a really tough game and then they have their counter-attacks – which obviously I would say avoid that with the quality they have still for 90 minutes. That would have been really insane. So, they had their moments but not even close to what they could have had because of the counter-press, so I liked that a lot. There are a lot of good performances – it was actually the last part. I said it before, in the moment when we scored these four screamers against Fulham, I knew that one day we will sit there and think, 'Ah, you better would not have shot, you would've passed.' So, it's completely normal.
That we are in a rush, you see then with the quality of the shots. Because these boys are able to do insane things from distance but today they [were] probably the easiest saves for Onana pretty much because the ball rolled in his arms, so that shows the technique is not there – not because you don't have it but just because you rushed the moment and that's it.
 
Pole. Umeme wetu unasumbua sana
Acha tu
Mida kama hii ulikuwa umeshakatika, na haukurudi.

Simu za kuangalizia mechi hazina chaji, nilishinda church hivyo sikuzichaji.

Kibanda umiza huwa siendi.

Lakini yote kwa yote ni heri sikuangalia tu
Nilikuwa nishajiwekea imani goli Tano, ila hapa naona pira papatu papatu tulilocheza🥲
 

Attachments

  • IMG_20231218_180618_873.jpg
    IMG_20231218_180618_873.jpg
    825.8 KB · Views: 6
Acha tu
Mida kama hii ulikuwa umeshakatika, na haukurudi.

Simu za kuangalizia mechi hazina chaji, nilishinda church hivyo sikuzichaji.

Kibanda umiza huwa siendi.

Lakini yote kwa yote ni heri sikuangalia tu
Nilikuwa nishajiwekea imani goli Tano, ila hapa naona pira papatu papatu tulilocheza🥲
Ulikuwa umeweka magoli 10. Hayo matano umeyatamka leo baada ya kukosa.

Sasa....itakuwaje? Sisi tuna kuja hapo kwenu Jumamosi. Jumatano mna robo fainali ya kanyagambao na west ham. Mtachezesha madogo wa benchi jumatano au mtawawekea full mkoko west ham?
 
Back
Top Bottom