Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapona March, atapiga game moja au mbili kwishaYaani ni hatari
Mara ya mwisho kumuona uwanjani ni mwaka jana ule msimu juzi
Aisee jamaa hapana kwa kweli
Ni hasara kwa timu
Chuki dhidi ya TrentDuuh hii sijawai kuistukia aisee kumbe udhaifu wa TAA kuzuia unambana dogo Domy kushambulia na kua free kwa kua sasa kazi yake inakua kulinda spaces anazooacha TAA akisogea juu hii ni tatizo kubwa kwetu.. Huyu dogo Macca sio wa kutumika hivyo in fact huyu Klopp alitakiwa kopi n pasti KDB anavyotumika pale Manchester city.
Klopp ni mbishi sana huyu mzee anachokiamini basi ndio hivyo hivyo kitakwenda hakuna namna wakati mwingine yes na wakati mwingine no na hapa ni NO kwa kua tuna sare kadhaa ambazo on another day nu ushindi lazima Klopp akumbali ipo tatizo mahala... Hizi gemu mbili Luton na Manchester United ilitakiwa ushindi tu hakuna kingine.
Kwa mara ya kwanza chini ya Klopp tuna MF murwa sana Macca, Domy, Grave, Elliott, Jones na Endo especially kwa cups sasa kujaribu kuwabadili wanavyojua wao ili mradi kuwabakisha wengine kwenye starting line up ni ishu aisee. Na kwa hii taarifa ni dhahiri tunahitaji sweeper MF ambae atafanya kazi hii na muda huo huo dogo Robertson apone mapema kwa kua kule upande wake pamepwaya upande wa assist..
YNWA
Utawaponza wenzioKama tulivyo ongea. Leo pelekeni vitoto na kipa wa benchi. Jumamosi Ze Ganaz wenyewe wababe wa mujini tunakuja hapo Anfield.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana
Huyu jamaa auzwe tu aisee
Ni mchezaji mzuri lakini mwaka mzima yupo wodini.
Nimewapa ushauri tu. Na je nimeweka namba ya account hapa au mpesa kuendana na ushauri huo?Utawaponza wenzio
Wewe chonga sana😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nunez piga kazi baba tupo nyuma yako
Alishindwa kumuamini Bajcetic kwenye mido saiv anamuamin Nunez kwenye Foward [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah nunez jamani anampatia nn klopp?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thiago anapona halafu anaumia hukohuko mazoezini
Chuki dhidi ya Trent
Mtaalam Kuna tatizo kwa Endo?DOMINIK.
mpe "leseni" kidogo ya ku-roam high up the pitch, and he will give you goals kama hizi.
SENSATIONAL FOOTBALL PLAYER.
Alishindwa kumuamini Bajcetic kwenye mido saiv anamuamin Nunez kwenye Foward [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DOMINIK.
mpe "leseni" kidogo ya ku-roam high up the pitch, and he will give you goals kama hizi.
SENSATIONAL FOOTBALL PLAYER.
Mtaalam Kuna tatizo kwa Endo?
Insults nyingine ni uselessUkiniwekea nunez na na mzize namchukua mzize