Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama tulivyo ongea. Leo pelekeni vitoto na kipa wa benchi. Jumamosi Ze Ganaz wenyewe wababe wa mujini tunakuja hapo Anfield.
 
Chuki dhidi ya Trent
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana

Huyu jamaa auzwe tu aisee
Ni mchezaji mzuri lakini mwaka mzima yupo wodini.

Utamuuzia nani injury prone kama yeye? Kwa kuwa mkataba unaisha summer hii ataondoka as free agent yeye na Matip.
 
Alishindwa kumuamini Bajcetic kwenye mido saiv anamuamin Nunez kwenye Foward [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bajcetic aliumia mkuu, kabla msimu haujaisha, aliporudi msimu umeshaanza hakuwa na pre season, na kwa umri wake Klopp hakutaka kumpa majukumu makubwa, kuna games alicheza akaumia tena.

You cant blame Klopp kwa Bajcetic. Kama angemalizia zile mechi zilizobaki za msimu as our DM nafikiri season hii angeanza as our first or 2nd DM.

Klopp aliulizwa pia why hampangi Bajcetic alijibu “ ametoka injury hauwezi kumpa game time kwa haraka, na ukweli bado mdogo kuna muda wa kujifunza na ku recover”
 
DOMINIK.

mpe "leseni" kidogo ya ku-roam high up the pitch, and he will give you goals kama hizi.

SENSATIONAL FOOTBALL PLAYER.

Same Group la Whatsapp wa Cameroon huko I told them, Szobo leo yupo free kwa sababu Trent hayupo. Uwe wa Trent una mlimit Szobo offensively anakuwa chini sana.

See today
Endo, Jones, Gomez played well defensively kiasi cha Szobo kuwa free sana offensively.

Nakumbuka mechi iliyofanya Szobo aanze kutazamwa kwa jicho la talent kubwa ni Vs B’mouth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…