Thank youSame Group la Whatsapp wa Cameroon huko I told them, Szobo leo yupo free kwa sababu Trent hayupo. Uwe wa Trent una mlimit Szobo offensively anakuwa chini sana.
See today
Endo
Jones
Gomez played well offensively kiasi cha Szobo kuwa free. Nakumbuka mechi iliyofanya Szobo aanze kutazamwa kwa jicho la talent kubwa ni Vs B’mouth.
Thank you
Trent angekua mkaguru au Kabila la wataru tungeshamlaani
Tatizo akicheza anakua liability kule nyumaHahah [emoji81][emoji81]
Asikusikie Saint Anne na Babe wake Trent.
So far Trent offensively ni monster i call him a chief and consumer. Registered two assists from bench.
I can smell thriller goals LFC vs AFC on Saturday.
Hapo sawa mkuu, siunaona Kobbie Maino anavyo kichafua pale Man U? Anapewa game time saivi kaisha improve aisee.Bajcetic aliumia mkuu, kabla msimu haujaisha, aliporudi msimu umeshaanza hakuwa na pre season, na kwa umri wake Klopp hakutaka kumpa majukumu makubwa, kuna games alicheza akaumia tena.
You cant blame Klopp kwa Bajcetic. Kama angemalizia zile mechi zilizobaki za msimu as our DM nafikiri season hii angeanza as our first or 2nd DM.
Klopp aliulizwa pia why hampangi Bajcetic alijibu “ ametoka injury hauwezi kumpa game time kwa haraka, na ukweli bado mdogo kuna muda wa kujifunza na ku recover”
Chuki dhidi ya Trent.Hahah [emoji81][emoji81]
Asikusikie Saint Anne na Babe wake Trent.
So far Trent offensively ni monster i call him a chief and consumer. Registered two assists from bench.
I can smell thriller goals LFC vs AFC on Saturday.
Take it easy brotherChuki dhidi ya Trent.
Akipangwa Nunez,Klopp mwamba
Akipangwa Trent,Klopp anamuabudu Trent.
Kauli za kina Def.
Picha yake haijapostiwa😂Szobo yuko wapi? Saint Anne 😂😂😂
Endelea tu kuwaponza wenzioHongereni sana kwa kuwapiga nyundo wale wagonga nyundo.
Pia tunawashukuru sana kwa kutuhifadhia points 3 zetu. Tunakuja kuzichukua kesh kutwa.
Yaani huyu Nunez tungemgawa walau kwa mkopo akakue sehemu yeyote ile ata kama ni kwa maadui siyo mbaya..Alishindwa kumuamini Bajcetic kwenye mido saiv anamuamin Nunez kwenye Foward [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Trent alipotoa wazo la kucheza kati,alionyesha hayupo happy kucheza nyumaTrent at the mido ni KDB mtupu
Ilikua kudogo tuu atupe ushindi thidi ya united baada ya kurudi katikatiTrent alipotoa wazo la kucheza kati,alionyesha hayupo happy kucheza nyuma
Kuna watu wakamuona kama mvuta bangi,eti bangi imekolea[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app