Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Trent for life 😂😂😂[emoji81] it happens kwenye futibol Miss. Huo utofauti ndio ladha yenyewe
As longest Nunez yupo hakuna wasiwasiRumuors ni kuwa Macca will miss the Arsenal game.
Mpaka sasa, tuna 7 first teamers nje kwaajili ya injuries.
Macca
Jota
Matip
Robertson
Gravenberch
Thiago
Bajcetic.
Makosa yao yamezibwa na mwamba JonesPerformance mbaya ya szobo,analaumiwa Trent
Mimi ni shabiki wa Nunez na Jones miambaHawa jamaa ni mashabiki wa LFC kweli?
Alikuwa anaifatilia LFC kweli msimu uliopita?
Unaambiwa Nunez huwa anafunga saana kimoyomoyoHuyu Nunez tumepigwa
Ni suala la muda tu
MI ni shabiki no. 1 WA nunezi ila now ananiumiza moyo. Nafikiria kumtema mazimaMimi ni shabiki wa Nunez na Jones miamba
Hivi Thiago si wavunje tu mkataba nae. Mtu kila siku hospitalAs longest Nunez yupo hakuna wasiwasi
Aibu kubwa kwetu hii. ARTETA ataanza kurekebisha hili suala kesho.
Uzuri kesho siyo mbali. Ni mwendo wa kuzidisha gepu tu na siyo vinginevyo.verifaidi yuza , HENRY14 wapashe habari wenzenu, tembo yupo hatarini kuporomoka
Pale ambapo Gomez aliingia RB then TAA akawa mido kabisa, timu ilidrive mbele angalauReason kubwa ya ku-draw game ya Utd, ni kwasababu our RHS was dead & we failed completely to progress/move the ball from the middle.
And, was Inverting the whole game, at what time alitaka kutupa ushindi katika zoezi lake la ku-invert? na ilikuwaje akarudi kati? wakati he was roaming hapo kati + right the whole game?
Hata Fabinho mlikuwa mnasema hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Nunez tumepigwa
Ni suala la muda tu
Waambieni waliokuwa wakisemaHata Fabinho mlikuwa mnasema hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Na usiku wa deni haukawiiUzuri kesho siyo mbali. Ni mwendo wa kuzidisha gepu tu na siyo vinginevyo.
Wewe haukuwemo?Waambieni waliokuwa wakisema
Kesho siyo mbali.Na usiku wa deni haukawii
Kaeni kuleni hata mara ya mwisho,huenda msipaone tena kileleni.
Mwenye macho haambiwi tazamaWewe haukuwemo?
Kawaulize wazee wako akina Hamis kama wanapataka AnfieldKesho siyo mbali.
Tunakuja.
Tunajua hamtaki tuje na maamuzi yangekuwa yenu basi mngeamua tusije ila ndiyo hivyo FA wamelazimisha, nasi hatuna budi kuja kwenu kuwatembelea.
Na hatuondoki hapo bila points 3.
Hata Luton Town alikuwa amesubiri takribani miaka 30 kuja kupokea kichapo kutoka kwetu. Sembuse nyie mnaotembelea bahati miaka nenda miaka rudi. Ipo siku mambo yatabadilika. Hiyo siku ni kesho.Kawaulize wazee wako akina Hamis kama wanapataka Anfield
Wakuambie ni lini mara ya mwisho walishinda