Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Reason kubwa ya ku-draw game ya Utd, ni kwasababu our RHS was dead & we failed completely to progress/move the ball from the middle.

And, was Inverting the whole game, at what time alitaka kutupa ushindi katika zoezi lake la ku-invert? na ilikuwaje akarudi kati? wakati he was roaming hapo kati + right the whole game?
Pale ambapo Gomez aliingia RB then TAA akawa mido kabisa, timu ilidrive mbele angalau

Szobo alipoteza mipira mingi sana ile game
 
Na usiku wa deni haukawii
Kaeni kuleni hata mara ya mwisho,huenda msipaone tena kileleni.
Kesho siyo mbali.

Tunakuja.

Tunajua hamtaki tuje na maamuzi yangekuwa yenu basi mngeamua tusije ila ndiyo hivyo FA wamelazimisha, nasi hatuna budi kuja kwenu kuwatembelea.

Na hatuondoki hapo bila points 3.
 
Kawaulize wazee wako akina Hamis kama wanapataka Anfield
Wakuambie ni lini mara ya mwisho walishinda
 
Kawaulize wazee wako akina Hamis kama wanapataka Anfield
Wakuambie ni lini mara ya mwisho walishinda
Hata Luton Town alikuwa amesubiri takribani miaka 30 kuja kupokea kichapo kutoka kwetu. Sembuse nyie mnaotembelea bahati miaka nenda miaka rudi. Ipo siku mambo yatabadilika. Hiyo siku ni kesho.
 
Back
Top Bottom