Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani huyu Nunez tungemgawa walau kwa mkopo akakue sehemu yeyote ile ata kama ni kwa maadui siyo mbaya..
Tuwape man city [emoji23][emoji23] ili watumie mfumo wa 352 alafu na KDB karudi
 
Hiyo bahati ya miaka nenda rudi mbona nyie mmeshindwa kuitembelea?
Hata Luton Town alikuwa amesubiri takribani miaka 30 kuja kupokea kichapo kutoka kwetu. Sembuse nyie mnaotembelea bahati miaka nenda miaka rudi. Ipo siku mambo yatabadilika. Hiyo siku ni kesho.
 
Hamkutaka kabisa hii siku ifike ila ndiyo hivyo tena imefika.
Naishia zangu Marangu kusherekea siku kuu ila nawaachia vijana wa Arteta jukumu la kuja kuchukua zile points 3 zetu.
 
A RULE FOR MANCHESTER CITY AND ANOTHER FOR OTHERS.

After Liverpool won the FIFA club World Cup in 2019, Liverpool wanted to add the FIFA World Champions badge to their Jerseys and wear them for both local league and Champions League but the FA, UEFA, and FIFA rejected Liverpool's demand.

Manchester City have been authorized to wear the gold 2023 FIFA World Champions badge in all Premier Leagues and Champions League matches across the remainder of the 2023/24 season.

Manchester City have broken over 115 FFP rules and are yet to be punished for over 10 years now. Everton were recently deducted 10 points for breaking a FFP rule while Manchester City are not bothered.

Manchester City always have referee decisions going in their favor....

Do you now understand why Manchester United are craving for Arab owners? It's not because the Glazers are not spending in the transfer market. They want big spenders and big influencers.

These Arab guys control the referees, FA, PGMOL, FIFA, and UEFA.

Hii ni kweli nilipo bold hiyo paragraph? ☝️
MosDef
Captain Marvelous
The MoNA ?
 
Hii tabia ya kurudisha rudisha mpira nyuma itazidi kutugharimu. Haiwezekani dk 90 goal keeper anakuwa na touch nyingi kuliko viungo. Klopp aachane na huu usenge maana inaonekana ni maekezo yake. Ndio maana tulikuwa tukimlaumu captain Heddo kwa zile back n wide passess.

Tumetanguliwa 1-0.
 
Hii tabia huwa inanikera hata mimi mkuu
Ni hatari sana,
Na Allison huwa anasogea sana ndani ya uwanja
Yaani ni hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dominic szoboszlai saiv anapewa majukumu ya beki na DM [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye kujua namna yeyote ya kuangalia huu mpira online, anisaidie Kops?!
 
Tsimkas maombi isiwe injury ya muda mrefu.

Gomez atulie Saka mbona anakabika vzr sana.

Upande wa TAA na KONATE wamemdhibiti vzr Martinelli
Nahisi niya mda mrefu ile sio Clavicle injury ile! [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…