Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
Tuwape man city [emoji23][emoji23] ili watumie mfumo wa 352 alafu na KDB karudiYaani huyu Nunez tungemgawa walau kwa mkopo akakue sehemu yeyote ile ata kama ni kwa maadui siyo mbaya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwape man city [emoji23][emoji23] ili watumie mfumo wa 352 alafu na KDB karudiYaani huyu Nunez tungemgawa walau kwa mkopo akakue sehemu yeyote ile ata kama ni kwa maadui siyo mbaya..
Endeleeni kuishi na historiaverifaidi yuza , HENRY14 wapashe habari wenzenu, tembo yupo hatarini kuporomoka
Hata Luton Town alikuwa amesubiri takribani miaka 30 kuja kupokea kichapo kutoka kwetu. Sembuse nyie mnaotembelea bahati miaka nenda miaka rudi. Ipo siku mambo yatabadilika. Hiyo siku ni kesho.
Siyo shida sisi tutamchukua osimhen wa napoliTuwape man city [emoji23][emoji23] ili watumie mfumo wa 352 alafu na KDB karudi
Haikuwa upande wetu ila upepo utaanza kugeukaHiyo bahati ya miaka nenda rudi mbona nyie mmeshindwa kuitembelea?
Thiago ni mshauri mazoeziniHivi Thiago si wavunje tu mkataba nae. Mtu kila siku hospital
Hii tabia huwa inanikera hata mimi mkuuHii tabia ya kurudisha rudisha mpira nyuma itazidi kutugharimu. Haiwezekani dk 90 goal keeper anakuwa na touch nyingi kuliko viungo. Klopp aachane na huu usenge maana inaonekana ni maekezo yake. Ndio maana tulikuwa tukimlaumu captain Heddo kwa zile back n wide passess.
Tumetanguliwa 1-0.
Nahisi niya mda mrefu ile sio Clavicle injury ile! [emoji24]Tsimkas maombi isiwe injury ya muda mrefu.
Gomez atulie Saka mbona anakabika vzr sana.
Upande wa TAA na KONATE wamemdhibiti vzr Martinelli