Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah unanikumbusha EL NinhoFernando Torres ajaye
Strika la Dunia anacheza faulo matata
Upcoming Torres🔥🔥🔥😍
kumbe Gomez hajawahi kufunga goli?Nunez on the scoresheet [emoji91][emoji91] With beautiful goal from is feet.
Jota was back with a goal. His normal behavior to score these kinda goals.
All were good but kudos to
Endo: (ameshajipata) Mpaka Macca ameumia ndio tumemuona our DM (Endo) ni wakati wa Klopp kupiga double 8’ (Macca and Szobo) while Endo as 6.
Quansah: Toka nilipoanza kumuona mara ya kwanza nilimuona mchezaji mwenye potential. Quansah ana utulivu mzuri sana, with and without the ball, katika kupora mipira, ana uwezo mzuri wa aerial duels, long passes. Lucky to have him from academy. Chelsea walitaka kutuuzia Colwill kwa £80M while we have our own Vvd 2.0 from academy.
Elliot: He has improved alot, his involvement kwenye kuyatafuta magoli inafurahisha sana, we need him msimu wote uliobaki.
Gomez: Yule wa 2019 mpaka january 2020 amerejea, and this time around anacheza as RB/LB and he is doing still good. Stay fit Joe you are so close to get your 1st goal of your career I pray.
Vvd back to his form we used to know after suffered ACL 2020/2021.
Gravenberch bado anajitafuta, but he has that quality we need, game time will improve him (just like Endo). Wish him to Click ASAP.! All the best Ryan.
And lastly we need all our boys back
Macca
Robbo
Thiago
Bajcetic
Hawa wanarudi January. We might be safe unlike many think kwa kuondoka kwa Salah. Its about Klopp himself tu atatumiaje alichonacho,?
YNWA
ahah kwenye pambana na hali yako ndio umenimalizaMmoja ajitolee kunifundisha kuhusu mambo ya offside na VAR
Mbona mimi nakuwaga sielewi.
Yaani mtu akizidi ni offside...sasa kama wapinzani wakigoma kukimbia,,wewe hope kukimbia mbele kisa offside?
Kama hili goli la Elliot..siyo hili tu!
Na lile la Gakpo..na mengine
Hebu nifundisheni dada enu,,
Note:Nifundishe kwa step, Mimi sijui
Usifundishe kama mtu anayejua kabisa.
Kama hutaki kunifundisha usinipopoe,pita kimya pambana na hali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
naelewa offside ilivyo lakini kwenye kuelekeza ubovu wangu unaanzia hapoMmoja ajitolee kunifundisha kuhusu mambo ya offside na VAR
Mbona mimi nakuwaga sielewi.
Yaani mtu akizidi ni offside...sasa kama wapinzani wakigoma kukimbia,,wewe hope kukimbia mbele kisa offside?
Kama hili goli la Elliot..siyo hili tu!
Na lile la Gakpo..na mengine
Hebu nifundisheni dada enu,,
Note:Nifundishe kwa step, Mimi sijui
Usifundishe kama mtu anayejua kabisa.
Kama hutaki kunifundisha usinipopoe,pita kimya pambana na hali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifundishwa na MosDef wewe ndio utaelewa maana wengine umetuzoea sana na Captain Marvelous ndio mnyonge wako humu 😂😂😂Mmoja ajitolee kunifundisha kuhusu mambo ya offside na VAR
Mbona mimi nakuwaga sielewi.
Yaani mtu akizidi ni offside...sasa kama wapinzani wakigoma kukimbia,,wewe uogope kukimbia mbele kisa utazidi?
Kama hili goli la Elliot..siyo hili tu!
Na lile la Gakpo..na mengine
Hebu nifundisheni dada enu,,
Note:Nifundishe kwa step, Mimi sijui
Usifundishe kama mtu anayejua kabisa.
Kama hutaki kunifundisha usinipopoe,pita kimya pambana na hali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Huyu Miss Liverpool ni my best best buddy haha ana mishe za kutosha humu...Ukifundishwa na MosDef wewe ndio utaelewa maana wengine umetuzoea sana na Captain Marvelous ndio mnyonge wako humu 😂😂😂
Anataka tuition 😂😂😂🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Huyu Miss Liverpool ni my best best buddy haha ana mishe za kutosha humu...
YNWA
Ukiona huyu mnyama yupo kileleni, ujue The Arsenal hawajacheza bado
Naona basketballers Bado mna keleleUkiona huyu mnyama yupo kileleni, ujue The Arsenal hawajacheza bado
View attachment 2855289
Amcheki tu Trent Arnold Aleqsanda baby face boy wake ampe tuition... Akihitaji dodoo za ma strika wetu nipo hapa na Kapteni Chaos 😀😀😀😎Anataka tuition 😂😂😂
King Ngwaba unaitwa huku.Mmoja ajitolee kunifundisha kuhusu mambo ya offside na VAR
Mbona mimi nakuwaga sielewi.
Yaani mtu akizidi ni offside...sasa kama wapinzani wakigoma kukimbia,,wewe uogope kukimbia mbele kisa utazidi?
Kama hili goli la Elliot..siyo hili tu!
Na lile la Gakpo..na mengine
Hebu nifundisheni dada enu,,
Note:Nifundishe kwa step, Mimi sijui
Usifundishe kama mtu anayejua kabisa.
Kama hutaki kunifundisha usinipopoe,pita kimya pambana na hali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gomez salute salute sana amepata kura yangu hakuna haja ya kumuuza tena abakie tu klabuni kwani kwa namna anavyotumika na Klopp pindi tuna majeruhi ni next level. Hii LB alicheza vyema kipindi cha Rodgers na sasa tena angalau ametuonyesha kwamba anastahili dakika zaidi pale.. Atupe ma assist na hatuna haja ya kuwakimbiza Robbo na Tsimikas warejee.Gomez naye anataka kufunga kama Trent😆
Akaupeleka mpira nanjilinji kwa mashabiki
Anafaa zaidi LBGomez salute salute sana amepata kura yangu hakuna haja ya kumuuza tena abakie tu klabuni kwani kwa namna anavyotumika na Klopp pindi tuna majeruhi ni next level. Hii LB alicheza vyema kipindi cha Rodgers na sasa tena angalau ametuonyesha kwamba anastahili dakika zaidi pale.. Atupe ma assist na hatuna haja ya kuwakimbiza Robbo na Tsimikas warejee.
YNWA
Hii ndiyo ile waswahili wanaita 'kukaimu nafasi kwa muda'?
Sio shida zetu blaza [emoji23][emoji23][emoji23]Naona basketballers Bado mna kelele
Kepten wenu ana good dribbling skills