Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmoja ajitolee kunifundisha kuhusu mambo ya offside na VAR
Mbona mimi nakuwaga sielewi.
Yaani mtu akizidi ni offside...sasa kama wapinzani wakigoma kukimbia,,wewe uogope kukimbia mbele kisa utazidi?
Kama hili goli la Elliot..siyo hili tu!
Na lile la Gakpo..na mengine
Hebu nifundisheni dada enu,,

Note:Nifundishe kwa step, Mimi sijui
Usifundishe kama mtu anayejua kabisa.


Kama hutaki kunifundisha usinipopoe,pita kimya pambana na hali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe Gomez hajawahi kufunga goli?
 
ahah kwenye pambana na hali yako ndio umenimaliza

Yaani wewe ndio umetupopoa sasa
 
naelewa offside ilivyo lakini kwenye kuelekeza ubovu wangu unaanzia hapo

Kuwa Mwalimu kipaji!
 
Ukifundishwa na MosDef wewe ndio utaelewa maana wengine umetuzoea sana na Captain Marvelous ndio mnyonge wako humu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mechi ijayo ni Liverpool vs Newcastle aka Magpies wamejeruhiwa na Kocha wao kakalia moto, mashabiki wameanza kuwazomea haitakua business as usual...

YNWA
 
King Ngwaba unaitwa huku.

YNWA
 
Gomez naye anataka kufunga kama Trent๐Ÿ˜†
Akaupeleka mpira nanjilinji kwa mashabiki
Gomez salute salute sana amepata kura yangu hakuna haja ya kumuuza tena abakie tu klabuni kwani kwa namna anavyotumika na Klopp pindi tuna majeruhi ni next level. Hii LB alicheza vyema kipindi cha Rodgers na sasa tena angalau ametuonyesha kwamba anastahili dakika zaidi pale.. Atupe ma assist na hatuna haja ya kuwakimbiza Robbo na Tsimikas warejee.

YNWA
 
Anafaa zaidi LB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ