Two draws at home zimenikera
Labda jota ataleta uhai… you have nailed it kabisa kwenye front three
Dynamics has changed bro.. Thiago atapoza mpira sana na mishe zake za kutaka kupiga exquisite passes... Kwa sasa asuburie tushinde ndio apangwe hakuna namna.
Domy, Gravenberch, Elliot, Endo nk any day of the week above Thiago...
Moto is fast and accurate.
Thiago is slow thus missing one out.
YNWA
Kweli mpira siyo wa kila mtu.
Ngoja nisome tena.
Salute mkuu naamini tutaanza new year Kwa kishindo inabidi Tu tubebe trophy this season
We don’t need Thiago this seasonKuna mechi unahitaji players wa aina hiyo, kuleta utulivu with quality movements.
Namsubiri sana huyu jamaa arejee, kuna sehemu yake bado ya kumalizia mkataba wake.
Am okay with the status quo kaka... Actually with addition ya DM ili Macca na Domy wasifungwe pingu tena wasogee mbele kiasi ili kuongeza mashambulizi na magoli...Kuna mechi unahitaji players wa aina hiyo, kuleta utulivu with quality movements.
Namsubiri sana huyu jamaa arejee, kuna sehemu yake bado ya kumalizia mkataba wake.
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Klopp akicheza karata vyema dirisha hili kupata DM tuko vizuri au Klopp aedelee na mipango ile ile ya mpangilio wa sub sahihi kwa wakati sahihi... Msimu huu sub wametuweka pazuri sana kwa ma assist, na magoli....Salute mkuu naamini tutaanza new year Kwa kishindo inabidi Tu tubebe trophy this season
Wenyewe wakikuskia unamsema vibaya main striker wao😂😂. Ila to be honest Jesus was never any good and that's why city binned him off, Arsenal fans just think every signing they make is a world beater, same as Zinchenko, white, viera etc etcKwa ishu ya bajeti hapa toka Arteta aje Arsenal ni ya tatu kwenye kutumia pesa.
1. Chelsea £ 1.44bn
2. Man city £ 708m
3. Arsenal £ 680m
4 Man utd £675m
Labda sababu iwe “not the right players”
Binafsi
Raya & Ramsadale hawawezi kukupa major trophies.
Jesus (as your main ST).
Nketiah, Nelson, Zichenko
N.B sio wa baya ile kupigania ubingwa wa EPL unahitaji
World Class GK,
World Class CB,
World Class MF
World Class ST
Hapa kwa ST kama haumpati goal getter basi uwe na Wings zenye uwezo wa kufunga, kuassist, ku create chances.
Unahitaji uwe na Captain materials japo watatu mpka watano hii inakutengenezea timu ya upambanaji.
Sasa kwa Arsenal wanakosa hiyo plus seniority.
Totally agree with you. Hakuna haja ya Kua Na ball huggers in our Midfield hiki kitu ndicho kinawacost arsenal, they have too many ball huggers(Odegard, martinelli, Saka, Trossard they take too many touches) ukishakua Na watu wa hivi wengi Timu inakua too predictableDynamics has changed bro.. Thiago atapoza mpira sana na mishe zake za kutaka kupiga exquisite passes... Kwa sasa asuburie tushinde ndio apangwe hakuna namna.
Domy, Gravenberch, Elliot, Endo nk any day of the week above Thiago...
Moto is fast and accurate.
Thiago is slow thus missing one out.
YNWA
😂😂😂Thiago piga kazi baba endelea kujivunja ule pesa ya bure
Mkataba wake ukiisha aondoke tuWe don’t need Thiago this season
Picha ya chini Kwani huyu wa light blue hatakiwi kuzidi huo mstari?Usijali pole pole utaelewa tu.
Halafu raha ya mpira una angle zake za kukupa burudani unaamua kuchagua wewe tu.
View attachment 2857003
View attachment 2857004
Offside hizo hapo, mwamba amezidi…!!!
Nafikiri umeelewa. Mpaka hapa
Huko Arsenal akina verifaidi yuza na wanatembo wenzie akina HENRY14 wamekinukisha😂😂Washabiki wa Arsenal wanamsema Vibaya Arteta but niseme ukweli Arteta ndiye Bill Shankly wa Arsenal.
Arteta kaikuta Arsenal imejifia ipo kuzimu kairudisha kwenye Reli.
Arteta Timu aliyonayo hajarithi bali kaitengeneza mwenyewe.
Arteta hana Bajeti kama Chelsea au Manure ya kubeba kina Caisedo, Enzo au Garnacho ndiyomana inamuia ngumu kubeba EPL kwa kikosi alichonacho.
But Arteta akiwezeshwa basi Arsenal itatakata na Timu nyingine zitapata shida.
Hasa ile ya man uTwo draws at home zimenikera
Labda jota ataleta uhai… you have nailed it kabisa kwenye front three
Mkubwa akikalia kiti hampishi mtoto yeyoteSasa jogoo amefika mwenyewe juu ya Mti baada ya Tembo kudondoka.
Huyu labda ashuke kwa hiari yake lakini sio kudondoka 💪💪View attachment 2856777
Unataka kusema computerarsenal siyo shabiki wa Ase8 siyo?!Ao sio mashabiki wa Arsenal, na arsenal ijawahi kuwa na mashabiki wa hovyo namna hile
Wanafata mikumbo ya mashabiki wengine ambao Tim zao hoe hae