Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dynamics has changed bro.. Thiago atapoza mpira sana na mishe zake za kutaka kupiga exquisite passes... Kwa sasa asuburie tushinde ndio apangwe hakuna namna.
Domy, Gravenberch, Elliot, Endo nk any day of the week above Thiago...
Moto is fast and accurate.
Thiago is slow thus missing one out.

YNWA

Kuna mechi unahitaji players wa aina hiyo, kuleta utulivu with quality movements.

Namsubiri sana huyu jamaa arejee, kuna sehemu yake bado ya kumalizia mkataba wake.
 
Kweli mpira siyo wa kila mtu.
Ngoja nisome tena.

Usijali pole pole utaelewa tu.

Halafu raha ya mpira una angle zake za kukupa burudani unaamua kuchagua wewe tu.

IMG_4428.jpg

IMG_4427.jpg

Offside hizo hapo, mwamba amezidi…!!!
Nafikiri umeelewa. Mpaka hapa
 
Kuna mechi unahitaji players wa aina hiyo, kuleta utulivu with quality movements.

Namsubiri sana huyu jamaa arejee, kuna sehemu yake bado ya kumalizia mkataba wake.
Am okay with the status quo kaka... Actually with addition ya DM ili Macca na Domy wasifungwe pingu tena wasogee mbele kiasi ili kuongeza mashambulizi na magoli...
Thiago atakua anaingia dakika ya 70 au 80 huku tukiwa tumeshinda japo sina hakika kama kweli hata gemu 10 atacheza msimu huu EPL is aggressive haitaki soft boys inahitaji hard ones...

YNWA
 
Salute mkuu naamini tutaanza new year Kwa kishindo inabidi Tu tubebe trophy this season
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Klopp akicheza karata vyema dirisha hili kupata DM tuko vizuri au Klopp aedelee na mipango ile ile ya mpangilio wa sub sahihi kwa wakati sahihi... Msimu huu sub wametuweka pazuri sana kwa ma assist, na magoli....

Tutamkosa Salah na Endo kwa mechi kadhaa EPL, Carabao na FA lakin kwa kua bado waliopo wakitulia wanauwezo magoli yatakuja tu ni wakati sasa wa Nunez na Gakpo kuonyesha wapo capable kuridhi majukumu ya Salah kwa vitendo.

YNWA
 
Kwa ishu ya bajeti hapa toka Arteta aje Arsenal ni ya tatu kwenye kutumia pesa.

1. Chelsea £ 1.44bn
2. Man city £ 708m
3. Arsenal £ 680m
4 Man utd £675m

Labda sababu iwe “not the right players”

Binafsi
Raya & Ramsadale hawawezi kukupa major trophies.
Jesus (as your main ST).
Nketiah, Nelson, Zichenko

N.B sio wa baya ile kupigania ubingwa wa EPL unahitaji

World Class GK,
World Class CB,
World Class MF
World Class ST
Hapa kwa ST kama haumpati goal getter basi uwe na Wings zenye uwezo wa kufunga, kuassist, ku create chances.

Unahitaji uwe na Captain materials japo watatu mpka watano hii inakutengenezea timu ya upambanaji.

Sasa kwa Arsenal wanakosa hiyo plus seniority.
Wenyewe wakikuskia unamsema vibaya main striker wao😂😂. Ila to be honest Jesus was never any good and that's why city binned him off, Arsenal fans just think every signing they make is a world beater, same as Zinchenko, white, viera etc etc
 

Dynamics has changed bro.. Thiago atapoza mpira sana na mishe zake za kutaka kupiga exquisite passes... Kwa sasa asuburie tushinde ndio apangwe hakuna namna.
Domy, Gravenberch, Elliot, Endo nk any day of the week above Thiago...
Moto is fast and accurate.
Thiago is slow thus missing one out.

YNWA
Totally agree with you. Hakuna haja ya Kua Na ball huggers in our Midfield hiki kitu ndicho kinawacost arsenal, they have too many ball huggers(Odegard, martinelli, Saka, Trossard they take too many touches) ukishakua Na watu wa hivi wengi Timu inakua too predictable
 
Washabiki wa Arsenal wanamsema Vibaya Arteta but niseme ukweli Arteta ndiye Bill Shankly wa Arsenal.

Arteta kaikuta Arsenal imejifia ipo kuzimu kairudisha kwenye Reli.

Arteta Timu aliyonayo hajarithi bali kaitengeneza mwenyewe.

Arteta hana Bajeti kama Chelsea au Manure ya kubeba kina Caisedo, Enzo au Garnacho ndiyomana inamuia ngumu kubeba EPL kwa kikosi alichonacho.
But Arteta akiwezeshwa basi Arsenal itatakata na Timu nyingine zitapata shida.
Huko Arsenal akina verifaidi yuza na wanatembo wenzie akina HENRY14 wamekinukisha😂😂

Uzi wao unachekesha balaa
Hadi wengine wanaanza kupigana vijembe
 
Back
Top Bottom