Hebu tuache huko acha kutukasirisha upya wakati machampions watarajiwa tumeshapooza hasira.Huko Arsenal akina verifaidi yuza na wanatembo wenzie akina HENRY14 wamekinukisha😂😂
Uzi wao unachekesha balaa
Hadi wengine wanaanza kupigana vijembe
Mlikuja wenyewe kunisumbuaHebu tuache huko acha kutukasirisha upya wakati machampions watarajiwa tumeshapooza hasira.
Kwa ishu ya bajeti hapa toka Arteta aje Arsenal ni ya tatu kwenye kutumia pesa.
1. Chelsea £ 1.44bn
2. Man city £ 708m
3. Arsenal £ 680m
4 Man utd £675m
Labda sababu iwe “not the right players”
Binafsi
Raya & Ramsadale hawawezi kukupa major trophies.
Jesus (as your main ST).
Nketiah, Nelson, Zichenko
N.B sio wa baya ile kupigania ubingwa wa EPL unahitaji
World Class GK,
World Class CB,
World Class MF
World Class ST
Hapa kwa ST kama haumpati goal getter basi uwe na Wings zenye uwezo wa kufunga, kuassist, ku create chances.
Unahitaji uwe na Captain materials japo watatu mpka watano hii inakutengenezea timu ya upambanaji.
Sasa kwa Arsenal wanakosa hiyo plus seniority.
We don’t need Thiago this season
Thiago ni kama diaby wa asenyaniMsimu huu tunamhitaji kila mtu kwasasabau tumeshaona mwanga.
Ameumia Robbo, ameumia Tsimikas, sasa nafasi yao anacheza Gomez kwa ufanisi wa hali ya juu je kuna aliyetegemea hili? Nadhani kabla ya msimu tungeweza kusema "We don't nee Gomez" but sasahivi ni tofauti tunamuhitaji kuliko wakati wowote ule.
Hivyo kwasasa kila mchezaji amathamani mpaka pale tutakapobeba kombe.
Wale ndiyo kawaida yao kugombana tukifungwa. Subiri kidogo tu tutaanza kushusha vipigo na amani itatawala tena. Nasubiria na nyie yawakute muanze kulana vichwa.Mlikuja wenyewe kunisumbua
Mimi wala siongei sana,nimekaa pale nacheka nyani wanavyoraruana
That the whole concept here no holding the ball, ni one touch mbele kwa mbele kwanza hatuna natural DM hivyo mpira uchezewe zaidi upande wa upinzani na sio kwetu...Totally agree with you. Hakuna haja ya Kua Na ball huggers in our Midfield hiki kitu ndicho kinawacost arsenal, they have too many ball huggers(Odegard, martinelli, Saka, Trossard they take too many touches) ukishakua Na watu wa hivi wengi Timu inakua too predictable
Sisi humu ni watu wazimaWale ndiyo kawaida yao kugombana tukifungwa. Subiri kidogo tu tutaanza kushusha vipigo na amani itatawala tena. Nasubiria na nyie yawakute muanze kulana vichwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko Arsenal akina verifaidi yuza na wanatembo wenzie akina HENRY14 wamekinukisha[emoji23][emoji23]
Uzi wao unachekesha balaa
Hadi wengine wanaanza kupigana vijembe
Sisi huwa tukifungwa lawama zote zinaenda kwa Nunez ila hatugombani kama nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale ndiyo kawaida yao kugombana tukifungwa. Subiri kidogo tu tutaanza kushusha vipigo na amani itatawala tena. Nasubiria na nyie yawakute muanze kulana vichwa.
Lawama kwa Nunez na uchoyo wa Salah na kushindwa kukaba kwa Trent na ubichwa ngumu wa Klopp huwa zipo. Ugomvi wenu tatizo mnaufanya kwa kiingereza. Labda huelewagi ndiyo maana unadhani watu hawagombani. 😄😄Sisi huwa tukifungwa lawama zote zinaenda kwa Nunez ila hatugombani kama nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisomagi viingereza mimi, viingereza vyenyewe vireeefu mm vya nn? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lawama kwa Nunez na uchoyo wa Salah na kushindwa kukaba kwa Trent na ubichwa ngumu wa Klopp huwa zipo. Ugomvi wenu tatizo mnaufanya kwa kiingereza. Labda huelewagi ndiyo maana unadhani watu hawagombani. [emoji1][emoji1]
Wameshamaliza kumtukana Arterta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi humu utatukuta tunabishana tunacheka,licha ya tofauti zetu za kimitazamo ila utakuta mtu anakuja kusoma anajipanga kucheka kuona kituko alichoandika Bobby mwenye mahaba yake kwa NunezLawama kwa Nunez na uchoyo wa Salah na kushindwa kukaba kwa Trent na ubichwa ngumu wa Klopp huwa zipo. Ugomvi wenu tatizo mnaufanya kwa kiingereza. Labda huelewagi ndiyo maana unadhani watu hawagombani. 😄😄
Kifupi mchezaji anaeenda kufunga awe hajamzidi beki WA mwisho...kabla hajapigiwa pasi....yaani kabla pasi haijapigwa kuja kwake asiwe kamzidi beki WA mwisho....ni hivyo tu ..pasi ikishapigwa hapo anaweza kukimbia na kuwazidi wote akafungaKweli mpira siyo wa kila mtu.
Ngoja nisome tena.
AnhaaKifupi mchezaji anaeenda kufunga awe hajamzidi beki WA mwisho...kabla hajapigiwa pasi....yaani kabla pasi haijapigwa kuja kwake asiwe kamzidi beki WA mwisho....ni hivyo tu ..pasi ikishapigwa hapo anaweza kukimbia na kuwazidi wote akafunga
Yes ndo video za marudio utaona mpira upo mguuni mwa alietoa pasi wakati wanachora mstariAnhaa
Kumbe kabla pasi haijapigwa,,
Heri wewe nimekuelewa.
Nikawa nawaza,sasa kama mabeki timu pinzani hawataki kukimbia,tuwangoje tuogope kukimbia kwa sababu tu tutazidi😁😆