Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa ishu ya bajeti hapa toka Arteta aje Arsenal ni ya tatu kwenye kutumia pesa.

1. Chelsea £ 1.44bn
2. Man city £ 708m
3. Arsenal £ 680m
4 Man utd £675m

Labda sababu iwe “not the right players”

Binafsi
Raya & Ramsadale hawawezi kukupa major trophies.
Jesus (as your main ST).
Nketiah, Nelson, Zichenko

N.B sio wa baya ile kupigania ubingwa wa EPL unahitaji

World Class GK,
World Class CB,
World Class MF
World Class ST
Hapa kwa ST kama haumpati goal getter basi uwe na Wings zenye uwezo wa kufunga, kuassist, ku create chances.

Unahitaji uwe na Captain materials japo watatu mpka watano hii inakutengenezea timu ya upambanaji.

Sasa kwa Arsenal wanakosa hiyo plus seniority.

ili unielewe kwa urahi ngoja nikuelezee kwa mifano.

Miaka ya nyuma tuliwahi kutumia hela nyingi sana katika usahili ambapo tuliwasajili kina Stewart Downing, Charlie Adam tukaja kina Andy Carroll, Jordan Henderson tukawa top 3 katika matumizi kama hao Arenal sasahivi lakini still tulikuwa ni miongoni mwa usajili wa kimasikini unajua kwanini?

- Siku zote Timu zenye Bajeti ndogo inaamini katika kusajili wachezaji wengi average kuliko wachache wenye uwezo ndiyomana tulisajili wengi wa £20 tukafika £150M huku mwenye bajeti kubwa anasajiki wawili tu kwa £150.

Ndiyo Arsenal ya sasa Bajeti yake ni ya kuungaunga ndiyomana Tokea Arteta aje utaona ametumia hela nyingi sana kumbe amesajili Rundo la average player wa £30M na wachache wa bei kubwa za kulipa kwa installation.

Bajeti yake nimesema ni ndogo kwasasababu hawezi kusajili Wachezaji wa £80M au £100M+ na kuwalipa £300K per week ili kujenga kikosi Imara badala yake anaokota average players ili apate wengi kwa wakati mmoja.

Hivyo Arsenal bajeti yake ni kama sisi tu sema Klopp kawa mjanja kidogo kwenye kutafuta wachezaji.

Arteta iwapo atapewa Bajeti kama Chelsea au Man City au Man Unite ya kuweza kuvuta mchezaji wa £90M muda wowote anaojisikia basi atakuwa na Bonge la Timu lisilogusika.

Nadhani umenielewa.
 
We don’t need Thiago this season

Msimu huu tunamhitaji kila mtu kwasasabau tumeshaona mwanga.

Ameumia Robbo, ameumia Tsimikas, sasa nafasi yao anacheza Gomez kwa ufanisi wa hali ya juu je kuna aliyetegemea hili? Nadhani kabla ya msimu tungeweza kusema "We don't nee Gomez" but sasahivi ni tofauti tunamuhitaji kuliko wakati wowote ule.

Hivyo kwasasa kila mchezaji amathamani mpaka pale tutakapobeba kombe.
 
Thiago ni kama diaby wa asenyani

Unreliable waste of space
 
Mlikuja wenyewe kunisumbua

Mimi wala siongei sana,nimekaa pale nacheka nyani wanavyoraruana
Wale ndiyo kawaida yao kugombana tukifungwa. Subiri kidogo tu tutaanza kushusha vipigo na amani itatawala tena. Nasubiria na nyie yawakute muanze kulana vichwa.
 
Totally agree with you. Hakuna haja ya Kua Na ball huggers in our Midfield hiki kitu ndicho kinawacost arsenal, they have too many ball huggers(Odegard, martinelli, Saka, Trossard they take too many touches) ukishakua Na watu wa hivi wengi Timu inakua too predictable
That the whole concept here no holding the ball, ni one touch mbele kwa mbele kwanza hatuna natural DM hivyo mpira uchezewe zaidi upande wa upinzani na sio kwetu...
Tuna safari ndefu Mzunguko wa pili kwani pale kila mmoja sasa anasaka ni wapi Mei itakua ligi ikiisha hivyo timu zitabana haswa wanaonusa kushuka daraja nao watakomaa mpaka hapo utaona ni wachezaji wa aina gani wanahitajika zaidi.. Tuna baller Domy yeye muda mwingi ni progressive pass japo kwa mechi za hivi karibuni nae amezidisha touches na imeelekea dogo kuonekana amechoka kumbe anajichosha mwenyewe aisee...

Thiago is good when fit in fact kwa uchezaji tukiwa tunaongoza mechi mbona fresh kabisaa...

YNWA
 
Wale ndiyo kawaida yao kugombana tukifungwa. Subiri kidogo tu tutaanza kushusha vipigo na amani itatawala tena. Nasubiria na nyie yawakute muanze kulana vichwa.
Sisi humu ni watu wazima
Timu ya mababu na mabibi hii

Tumejaa wazee,mimi bibi yenu pia nipo.

Mambo ya matusi yapo kwenye timu ndogo kama arse8 na City,ambako mmejaa watoto wa dotcom
 
Sisi huwa tukifungwa lawama zote zinaenda kwa Nunez ila hatugombani kama nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lawama kwa Nunez na uchoyo wa Salah na kushindwa kukaba kwa Trent na ubichwa ngumu wa Klopp huwa zipo. Ugomvi wenu tatizo mnaufanya kwa kiingereza. Labda huelewagi ndiyo maana unadhani watu hawagombani. 😄😄
 
Lawama kwa Nunez na uchoyo wa Salah na kushindwa kukaba kwa Trent na ubichwa ngumu wa Klopp huwa zipo. Ugomvi wenu tatizo mnaufanya kwa kiingereza. Labda huelewagi ndiyo maana unadhani watu hawagombani. [emoji1][emoji1]
Sisomagi viingereza mimi, viingereza vyenyewe vireeefu mm vya nn? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lawama kwa Nunez na uchoyo wa Salah na kushindwa kukaba kwa Trent na ubichwa ngumu wa Klopp huwa zipo. Ugomvi wenu tatizo mnaufanya kwa kiingereza. Labda huelewagi ndiyo maana unadhani watu hawagombani. 😄😄
Sisi humu utatukuta tunabishana tunacheka,licha ya tofauti zetu za kimitazamo ila utakuta mtu anakuja kusoma anajipanga kucheka kuona kituko alichoandika Bobby mwenye mahaba yake kwa Nunez
Kituko alichoandika st Anne kwa kipenzi chake Trent
Unajipanga Kuja kucheka Babu Ngwaba alichomuandikia Nunez

Sasa kule jukwaa la matembo timu ndogo
Yaani ni mitusi hadi watu wanataka kupasuana mishipa ya kichwa.
Aseno bwana yaani mimi hapo napita kucheka tu.
 
Kweli mpira siyo wa kila mtu.
Ngoja nisome tena.
Kifupi mchezaji anaeenda kufunga awe hajamzidi beki WA mwisho...kabla hajapigiwa pasi....yaani kabla pasi haijapigwa kuja kwake asiwe kamzidi beki WA mwisho....ni hivyo tu ..pasi ikishapigwa hapo anaweza kukimbia na kuwazidi wote akafunga
 
IMG-20231231-WA0001.jpg
 
Anhaa
Kumbe kabla pasi haijapigwa,,
Heri wewe nimekuelewa.

Nikawa nawaza,sasa kama mabeki timu pinzani hawataki kukimbia,tuwangoje tuogope kukimbia kwa sababu tu tutazidi😁😆
 
Back
Top Bottom