Choza ananichekesha sana.
Ananikumbusha sana, enzi zangu zile, mimi na bwana JORDAN BRIAN HENDERSON.
nilikuwa naangalia games za LFC na diary/note book pembeni, na note/write down kila mistake ya Henderson, kila mistake yaani.
Afu nakuja kuzimwaga humu/reddit/LFC official website chatting/comments section (kipindi kile), na platforms zingine kibao. Man, i was so HATED.
Tofauti ya Nunez na Henderson, Henderson was a complete mess and arse.
So namuelewa Choza, kwenye hii stage, huwezi kumwambia chochote kuhusu Nunez akakuelewa. nilikuwepo huko, ila nimeamua kutoka now, kwasababu nilikuwaga siienjoy hata mpira Aisee,
But, as Liverpool fan, my agenda against Henderson, ni moja kati ya mafanikio yangu makubwa sana kwenye dunia ya mpira, hahaha im so proud of it.