Kwa kweli
Nakumbuka msimu ulipoanza nilikuwa namponda
Wewe na Def mkawa mnasema Gomez ni mzuri
Nikauliza huyu huyu Gomez? [emoji38]
🤣 🤣 TAA jana na kuna block moja aliifanya nikasema huyu dogo ni multifunctional player wakati akiamka powaaa....Vyovyote itakavokua Salah na TAA najua hawatakosa... Here we go
Think he will still end up at Madrid.
But kama Madrid wakizingua race itakuwa open.
Uwezo wa kumsajili Mbappe tunao, but issue ni FSG, kama wataona financial package yake ni reasonable.
Nipo pale[emoji117]
Ongezea hapo
choza choza
King Ngwaba
Na kibao kikigeuka pia na mimi Nina list yenu
Wa kwanza ni Captain Marvelous
Na sisi tunayo list yenu for future use[emoji23]
Hivi Fabinho nani alimroga akaue kipaji chake ligi za matopeni?
Ila hata ningekuwa mimi ningeenda kuvuna hela za dezo
i
FSG ya sasa ni bora tofauti na ile ya kipindi cha akina Benitez
Nikimaanisha safu ya uongozi wao
Mpira ni mchezo wa bahatiKing Ngwaba mechi ya juzi alimpa muda, macho yote na akili yote akapata majibu na kusema kwamba dogo hana bahati lakini mpira anajua kwa hiyo mtoe
Heri matip tumfanyie ubinadamu amepambana majanga yakampataPersonally, i wont be against Thiago extension AU kama club ikiamua imuachie. yote ni sawa kwangu.
Kwa Matip, itakuwa ngumu sana kupata team kama, ataendelea kuheal as a free agent (bila team), ACL injuries are not a joke.
Klopp alihint kuwa FSG needs to honor his services, remains to be seen, kama FSG watasunction an extension.
Sidhani kama uwepo wa Matip & Thiago, utazuia club kununua LCB na DM in the near future.
Mpira ni mchezo wa bahati
Kama huna bahati ina maana wewe ni loser.
Umebadili tena msimamoSure as long as hawa jama sio kikwazo cha dakika na usajili kwa Klopp then nina amani we need mentors around ili upcoming n new coming boys wawe in good hands... Moja ya yamemwayo pale Gunners ni kukosa mentors na influential speakers kule vyumbani sasa kwa Liverpool we have been blessed kua na hao jamaa Gini, Milner, Hendo, Matip, Thiago na huyu Thiago anaongea lugha nyingi tu... Manchester city wana Benado Silva, Rodri nk nk hivyo na sisi tunawahitaji sana na mentor kwanj mbio za ubingwa zina mbinu nyingi sana na maneno sahihi wakati sahihi.
YNWA
Mikimbio bila magoli yake kwangu mimi hapanaYani hutaki kutoa room ya Imani japo ndogo kwa Nunez 😂
Juzi kuna kitu nimeona kwake amini atakuprove wrong.
Kuna jinsi Jones anataka kutuaminisha lkn anachelewa.
Kabla ya kusema lolote nimpe hii january to february.
But since his debut i rated him highly.
Ni kweli Nunez uwepo wake uwanjani ana involve, anapress anacheza wing na CF lakini unakosa chance za wazi timu ikiwa 1-1 au 0- 0 then mpaka Klopp afanye Sub ndio inakuja kulipa, it means huna faida uwanjaniChoza ananichekesha sana.
Ananikumbusha sana, enzi zangu zile, mimi na bwana JORDAN BRIAN HENDERSON.
nilikuwa naangalia games za LFC na diary/note book pembeni, na note/write down kila mistake ya Henderson, kila mistake yaani.
Afu nakuja kuzimwaga humu/reddit/LFC official website chatting/comments section (kipindi kile), na platforms zingine kibao. Man, i was so HATED.
Tofauti ya Nunez na Henderson, Henderson was a complete mess and arse.
So namuelewa Choza, kwenye hii stage, huwezi kumwambia chochote kuhusu Nunez akakuelewa. nilikuwepo huko, ila nimeamua kutoka now, kwasababu nilikuwaga siienjoy hata mpira Aisee,
But, as Liverpool fan, my agenda against Henderson, ni moja kati ya mafanikio yangu makubwa sana kwenye dunia ya mpira, hahaha im so proud of it.
Huwa tukifanya sajili mpya, huwa nakuja humu haraka sana, kuangalia verdict yako na ya Captain Marvelous kuhusu mchezaji husika, because i trust na kuheshimu sana judgement zenu kuhusu players.
So i was suprised kuona your stance on Nunez mara ya kwanza, bacause you never miss.
Nunez, ana big, big, big, big potential, and i believe atafanikiwa at liverpool.
Sasa hivi sifa zote kwa KloppKlopp’s Presence baaaasi hakuna kingine
Mikimbio bila magoli yake kwangu mimi hapana
Tulipigwa kwa ile bei.
Ndiyo ana umaridadi wa kukimbia kama mnavyosema
Na kutengeneza assist
Lakini kazi kubwa aliyoijia ya kufunga inamshinda.
Tena magoli ya wazi
Sisi huku Nanjilinji masuala ya kukimbia sijui miondoko, na blah blah nyingine kama hizo hatuzingatii... Tunachozingatia ni magoli.
Yale magoli hata ukinichukua mimi japo sijui kabisa mpira ila pale sikosi.
Wewe ni wetu tu ,upo upande wetu hata kama mpira hatujuiYou're right 🤝