Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]

Hata Keita Klopp hakuwahi kukubali kuwa ni usajili uliofeli
Yupo Sancho pale Manchester United katazame bei yake na mshahara na stat zake utaona Nunez ni wa hio bei kabisaaa...
Yupo Antony hapo hapo Manchester United tazama bei yake na stat utaona Nunez hatujapigwa...
Yupo Rasmus Manchester United chekk bei yake na mchango wake sasa utaelewa Nunez ni wa 200m+
Nk nk nk....

In life watch whats you wish...

YNWA
 
Wanajitahidi sana kumbeba dogo
Mungu saidia abebeke

Baadaye Klopp naye atamchoka😂
Hakumchoka Lovren, Sakho, Henderson, Milner, Lallana, Keita, Karius, Mignolet nk bila kuwapa nafasi...
Klopp hua ni muumini wa kutoa muda kwa wachezaji yupo tofauti na wengine hii ina mazuri na mambya yake...
Wapo walioshindwa kabisa kumuonyesha Klopp anachokitaka kama Solanke, Grujic, Kabak, Arthur Melo nk nk...
Kwa Pep ni njia moja tu upo kwa mfumo ama haupo tazama Philips, Danilo, Nolito, Mendy nk Pep hanaga muda wa kusubiri ni kupiga bei ama kusota benchi na yeye kuingia sokoni kwa bahati mbaya Klopp hama matajiri wa mafuta wa kumpa anachokitaka sana sana yeye Klopp' anakomaa na kufundisha alionao mpaka wafike levo anazohitaji...

YNWA
 
Yupo Sancho pale Manchester United katazame bei yake na mshahara na stat zake utaona Nunez ni wa hio bei kabisaaa...
Yupo Antony hapo hapo Manchester United tazama bei yake na stat utaona Nunez hatujapigwa...
Yupo Rasmus Manchester United chekk bei yake na mchango wake sasa utaelewa Nunez ni wa 200m+
Nk nk nk....

In life watch whats you wish...

YNWA
Na Chelsea kwa Jackson aliwagharimu shilingi ngapi
 
Hakumchoka Lovren, Sakho, Henderson, Milner, Lallana, Keita, Karius, Mignolet nk bila kuwapa nafasi...
Klopp hua ni muumini wa kutoa muda kwa wachezaji yupo tofauti na wengine hii ina mazuri na mambya yake...
Wapo walioshindwa kabisa kumuonyesha Klopp anachokitaka kama Solanke, Grujic, Kabak, Arthur Melo nk nk...
Kwa Pep ni njia moja tu upo kwa mfumo ama haupo tazama Philips, Danilo, Nolito, Mendy nk Pep hanaga muda wa kusubiri ni kupiga bei ama kusota benchi na yeye kuingia sokoni kwa bahati mbaya Klopp hama matajiri wa mafuta wa kumpa anachokitaka sana sana yeye Klopp' anakomaa na kufundisha alionao mpaka wafike levo anazohitaji...

YNWA
Lallana, Lovren, Henderson na Karius wamekula sana matusi kutoka kwangu dah

Ila Lovren alikuwa anatia hasira sana aisee

Ila Sakho alikuwa jembe langu kabisa nilikuwa namkubali sana
 
£100m sikuizi nikama karanga tu [emoji23]
Screenshot_20240104-221505.jpg
 
[emoji826] DIETMER HAMMAN

[emoji860] Kama Darwin Nunez atarekebisha swala la Umaliziaji basi haina shaka atakuwa mchezaji bora Duniani , Tatizo la Darwin Nunez ni moja tu kumalizia mipira ya mwisho anayo ipata lakini mengineyo anayafanya kwa ustadi mkubwa sana

[emoji860] Mtu yeyote wa mpira atamlaumu Nunez kwanini hafungi sana lakini Nunez anakupa Assist na anachangia kila kitu katika timu mpaka ukabaji na kupandisha Mashambulizi kwa wakati, Nunez amabakiza jambo moja ili kubadili mawazo ya watu umaliziaji tu, naamini hatoendelea na swala hili la kukosa magoli hovyo kwa muda mrefu

@Boniphace07
 
Back
Top Bottom