King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
last seen ni tarehe 19 decemberHuyu Kop mwenzetu Liverpool Halisi Malafyale yupo wapi mbona haonekani?
Angalau Choza amekuja😂Aki na Ukwa pale wanapokutana
Tunakula sikukuu huku MwakaleliHuyu Kop mwenzetu Liverpool Halisi Malafyale yupo wapi mbona haonekani?
kuna na GrauAngalau Choza amekuja😂
Nisibaki mnyonge
Yupo Sancho pale Manchester United katazame bei yake na mshahara na stat zake utaona Nunez ni wa hio bei kabisaaa...Ulitegemea mchezaji aliyemnunua kwa £85m aseme ni m bovu[emoji1][emoji1]
Hata Keita Klopp hakuwahi kukubali kuwa ni usajili uliofeli
Wewe kwako lunch na kwa choza choza ni sapa 👍🔥🔥🔥🔥🔥[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkataba unamhusu kabisaaa wakati ukifika.Kama ataendelea kuimprove sidhani kama hatoongezewa Mkataba.
Hahaha leo Miss Liverpool ataota na HB wake haha kutoka kusema apigwe benchi na sasa huyoo anawania mchezaji bora wa deseba woow dogo amepambana sana... 🔥
Hakumchoka Lovren, Sakho, Henderson, Milner, Lallana, Keita, Karius, Mignolet nk bila kuwapa nafasi...Wanajitahidi sana kumbeba dogo
Mungu saidia abebeke
Baadaye Klopp naye atamchoka😂
Na Chelsea kwa Jackson aliwagharimu shilingi ngapiYupo Sancho pale Manchester United katazame bei yake na mshahara na stat zake utaona Nunez ni wa hio bei kabisaaa...
Yupo Antony hapo hapo Manchester United tazama bei yake na stat utaona Nunez hatujapigwa...
Yupo Rasmus Manchester United chekk bei yake na mchango wake sasa utaelewa Nunez ni wa 200m+
Nk nk nk....
In life watch whats you wish...
YNWA
Lallana, Lovren, Henderson na Karius wamekula sana matusi kutoka kwangu dahHakumchoka Lovren, Sakho, Henderson, Milner, Lallana, Keita, Karius, Mignolet nk bila kuwapa nafasi...
Klopp hua ni muumini wa kutoa muda kwa wachezaji yupo tofauti na wengine hii ina mazuri na mambya yake...
Wapo walioshindwa kabisa kumuonyesha Klopp anachokitaka kama Solanke, Grujic, Kabak, Arthur Melo nk nk...
Kwa Pep ni njia moja tu upo kwa mfumo ama haupo tazama Philips, Danilo, Nolito, Mendy nk Pep hanaga muda wa kusubiri ni kupiga bei ama kusota benchi na yeye kuingia sokoni kwa bahati mbaya Klopp hama matajiri wa mafuta wa kumpa anachokitaka sana sana yeye Klopp' anakomaa na kufundisha alionao mpaka wafike levo anazohitaji...
YNWA
Jackson aliwagharimu chini ya £34m sidhani kama ilivuka hapo...Na Chelsea kwa Jackson aliwagharimu shilingi ngapi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Sakho ni mid table player sio levo za UCL, EPL contenders...Lallana, Lovren, Henderson na Karius wamekula sana matusi kutoka kwangu dah
Ila Lovren alikuwa anatia hasira sana aisee
Ila Sakho alikuwa jembe langu kabisa nilikuwa namkubali sana
kama nakumbuka vizuri aliondoka kwa sababu ya nidhamu sio kiwango🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Sakho ni mid table player sio levo za UCL, EPL contenders...
YNWA