Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unadhani hata najua basi!Naona tuzo atabeba Solonke. December aliwaka sana. Ila akibeba TAA sitashangaa ila kwa manager Klopp best save Beckor.
Saint Anne ehh hivi unajua huyu Solanke alishakipiga LFC? Tukamuuza kwa bei nzuri kiasi tukafumba mdomo, wakati hakuwa mzuri kwa level ya LFC 35m hivi kama sijakosea.
Aise we were having sporting director, genius in football call him Michael Edward. Huyu jamaa aliamua kuondoka kumpisha Klopp na maamuzi yake yaliyotukosti sana. Kung’ang’ania Henderson, Keita, Ox and Milner kula mikataba mipya.
Best of Luck to Dominic Solanke
Mbappe akituaKufungwa tutafungwa ila mpaka uone hii mechi tunapoteza ni mpaka prrrrrrr ya 90’
[emoji23]Mapenzi upofu. Kwenye suala la kuzuia kwa TAA, huku Miss Liverpool hana pumzi, nitampa pressing hiyo aombe sub.
Anatoa maassist.Tuseme mara moja.
Sio strika.
Ila ukija kwenye role yake huko hauchomoki aisee maana kwanza ana errors kibao zilizozaa magoli.
Katazame Uefa CL final 2022 ujione weakness yake ilivyotuua.
daah nimecheka sana walahi
Tunasubiri huo muda kwa hamuHuyo ana ubishi japo uzuri wake huwa anakubali kama kitu kipo sawa au sio sawa. Kama atakavyosema Nunez utusamehe tulikukosea sana.
Ila kwa TAA kuzuia sikubali kabisa. Offensively ni hatari sana.
Unadhani hata najua basi!
Hata sijui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]
Kwani siku hiyo mastrika hawakucheza?
Kazi yao ilikuwa nini humo ndani?
Wangefunga magoli ya kutosha wala wasingehangaika kumsema Trent.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatoa maassist.
UEFA tulifungwa bao moja kwa nunge.
Wote akina Mane,Salah ,Firmino ,Origi na wengine kwanini wasifunge[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiri huo muda kwa hamu
Tumuombe msamaha Nunez[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
si walisema mpaka mwezi wa tatu ndio anarudi
si walisema mpaka mwezi wa tatu ndio anarudi
okNdio. Itakuwa individual rehab.
Kama wameshangaa muda wote bilabila angefanyaje?Nami nikujibu kisiasa kwa kukuuliza swali, Kwa nini alienda kuingilia jukumu sio lake?? Wakati wenye jukumu walikuwa eneo la kazi. Huoni ni kiherehere cha kutaka sifa?? Kikamponza
ilikuwa fainali so tulikosa kombe na sio pointKama wameshangaa muda wote bilabila angefanyaje?
Tulikosa points Kwa uzembe wa mastrika
Aliuzwa kwa euro 19mNaona tuzo atabeba Solonke. December aliwaka sana. Ila akibeba TAA sitashangaa ila kwa manager Klopp best save Beckor.
Saint Anne ehh hivi unajua huyu Solanke alishakipiga LFC? Tukamuuza kwa bei nzuri kiasi tukafumba mdomo, wakati hakuwa mzuri kwa level ya LFC 35m hivi kama sijakosea.
Aise we were having sporting director, genius in football call him Michael Edward. Huyu jamaa aliamua kuondoka kumpisha Klopp na maamuzi yake yaliyotukosti sana. Kung’ang’ania Henderson, Keita, Ox and Milner kula mikataba mipya.
Best of Luck to Dominic Solanke
Asante kiongozi wanguYupo kwa mkopo France ligue 2, timu inaitwa Dunkerque.
mkuu sisi tuko na Ashraf Hakimi anaye ovarap ,hatuwezi kukutana na Salah tutadundwa mechi zote, japo ya Zambia tutakufa kiume.
ilikuwa fainali so tulikosa kombe na sio point