Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona tuzo atabeba Solonke. December aliwaka sana. Ila akibeba TAA sitashangaa ila kwa manager Klopp best save Beckor.

Saint Anne ehh hivi unajua huyu Solanke alishakipiga LFC? Tukamuuza kwa bei nzuri kiasi tukafumba mdomo, wakati hakuwa mzuri kwa level ya LFC 35m hivi kama sijakosea.

Aise we were having sporting director, genius in football call him Michael Edward. Huyu jamaa aliamua kuondoka kumpisha Klopp na maamuzi yake yaliyotukosti sana. Kung’ang’ania Henderson, Keita, Ox and Milner kula mikataba mipya.

Best of Luck to Dominic Solanke
Unadhani hata najua basi!
Hata sijui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme mara moja.
Sio strika.

Ila ukija kwenye role yake huko hauchomoki aisee maana kwanza ana errors kibao zilizozaa magoli.

Katazame Uefa CL final 2022 ujione weakness yake ilivyotuua.
Anatoa maassist.

UEFA tulifungwa bao moja kwa nunge.

Wote akina Mane,Salah ,Firmino ,Origi na wengine kwanini wasifunge[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23]
Kwani siku hiyo mastrika hawakucheza?
Kazi yao ilikuwa nini humo ndani?

Wangefunga magoli ya kutosha wala wasingehangaika kumsema Trent.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nami nikujibu kisiasa kwa kukuuliza swali, Kwa nini alienda kuingilia jukumu sio lake?? Wakati wenye jukumu walikuwa eneo la kazi. Huoni ni kiherehere cha kutaka sifa?? Kikamponza
 
Kama wameshangaa muda wote bilabila angefanyaje?
Tulikosa points Kwa uzembe wa mastrika
 
Naona tuzo atabeba Solonke. December aliwaka sana. Ila akibeba TAA sitashangaa ila kwa manager Klopp best save Beckor.

Saint Anne ehh hivi unajua huyu Solanke alishakipiga LFC? Tukamuuza kwa bei nzuri kiasi tukafumba mdomo, wakati hakuwa mzuri kwa level ya LFC 35m hivi kama sijakosea.

Aise we were having sporting director, genius in football call him Michael Edward. Huyu jamaa aliamua kuondoka kumpisha Klopp na maamuzi yake yaliyotukosti sana. Kung’ang’ania Henderson, Keita, Ox and Milner kula mikataba mipya.

Best of Luck to Dominic Solanke
Aliuzwa kwa euro 19m
 
Bora aende Wolverhampton
Screenshot_20240106-204320.jpg
 
Back
Top Bottom